Sitaki kuolewa

Sitaki kuolewa

Ndo hivo ukipambana na vipoozeo vya modes ndo matokeo yake!

hahahahaaaaaaa
....!unankosha mie!wanapatikana wapi na mi nipate mmoko ili wasinisuspend au nkizinguliwa nishtaki fasta!
 
Ha ha humu ndani kwa drama ni balaa.
Mara ameolewa mara ana mchumba humu wamegombana mara ana watoto wawili mara anasoma indiq mara anauza nywele za maiti mara kansas aaaaa.
Ila nachoweza sema ni mijitu imeshakula mipilipili ya bure na mivitunguu maji huko asa inakuja humu kujikuna.

Teh teh teh teh mambo ya kuwa TrippleIDs afu unasahau kuLog out ndio haya,,,,kwanini usiwe na moja tu kama mimi?

Waswahili wanasema ukiwa MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Uamuzi bora sana, waeleze na hao mamazako wasiwe wakikusumbua sumbua kukuuliza swali kama hilo tena.
 
Wasalaam wana MMU,

Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana ...

Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?

Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa?

Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi",

kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi???

Msimamo wangu:

1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi

2. Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda

3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa

4. Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa

5. Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion (ndoa sio fashion)

6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nope

Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.

XoXo

Hata ukichagua saaaana na kupata ambaye utaridhika naye kwa vigezo vyako, haimaanishi kuwa ndiyo utakuwa na furaha katika maisha yako yote ya ndoa.

Isitoshe vigezo ulivyoviweka, utavi-modify soon...
 
Baby UKOME KUSHOBOKEA WATU! Unaona umevuliwa nguooooo? Mi nilikuwa na kucheki tu mchepuko wako! Haya sasa KIKO WAPIIIIIIII?

Umeshusha MISIFA KIBAOOO kumbe kanjanja! WALE WOTE MLIOSHOBOKA KUMSIFIA MMEINGIA MITINI! Hahahaaaaaa!
Uwe unanisifia tu mi mkeo!

nimekusikia mama najuuuta kumsifia huyu mama wa magumashi.

siku nyingine nifinye tu chumbani tuyamalize wenyewe. am deeply sorry.
 
Hilo Swali Pia Naulizwa Sana,
Mie Nabaki Nawashangaa Tu,
 
Ha ha ha daaah nmecheka aiseee

Hii mobile application si nzuri kika mkiniquote na kunitaja inakuwa notification,.
Nkiingia nakutana na you have been banned from this forum.
 
Hii mobile application si nzuri kika mkiniquote na kunitaja inakuwa notification,.
Nkiingia nakutana na you have been banned from this forum.

Ila umewafumbua watu macho ingawa mtanange sikuuona.Nadhani washiriki karibia wote mpo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom