Sitaki kuolewa

Sitaki kuolewa

ulikuwa unasubir braVuka wapigwe 7-1 ndo ijitokeze?
mfyuuuuuuu
nimekumithi mpk nimekununia!

Nilikuwa napita kibubububu. Ungejua nasubiri Mangi atupe jongoo na mti wake halafu niite maliasili wanisaidie kuutafuta!!!
Nasikia mengi yamepita hapa.......kwamba hata Wangoni siku hzi mmeendelea mpaka mnapiga picha za 'utamu'

Source: Komba wa CRDB
 
ulikuwa unasubir braVuka wapigwe 7-1 ndo ijitokeze?
mfyuuuuuuu
nimekumithi mpk nimekununia!

ha ha ha ha ha ha.........

leo mji upo kimyaaaaa ,,,,,,,, naona wazee wa 7 o'clock bado wanasikilizia kristapeni.
 
hahahaaa! aisee baadae sana! sina mpango wa kuoa wala wazo hilo halijaletwa wala halijaja kichwani mwangu..
bado nina modules nyingi sana kichwani zinasubiri kupitiwa sis!...

at 30 hujaolewa? halafu ukiulizwa unakasirika? hm! hm!

vipi kama ungekuwa huna ajira halafu ukaulizwa kama ushapata ama la? je ungekasirika?

kuna maswali mengine bhana yanastua, hata kama hayawahusu lakini ujue muda ndo huooo ushakutupa mkono!

Hivi wewe unalinganisha kutokuwa na kazi na kutokuwa na ndoa? U can't b siriaz..... Alafu...hivi mtu asipokuwa na ndoa anaathiri vipi wanajamii wengine au niseme wanabanwa nini?
 
Wasalaam wana MMU,

Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana . Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?

Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa? Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi", kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi?

Msimamo wangu:

1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi

2. Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda

3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa

4. Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa

5. Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion (ndoa sio fashion)

6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nope

Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.

XoXo

umeeleza upande mmoja, sijaona ukitaja sifa unazohitaji ili uolewe, nadhani pia ungechambua ni mazingira yepi mwanamke akubali kuolewa basi.
 
Khantwe, mbona nimeheshimu Sana tu. Huoni wadada wasio na mwelekeo wa kuolewa wanajipa matumaini kupitia bango la Rapunzel...

Mimi hata hili bango lisingewekwa I would remain the same..... Huu utaratibu wa kupangiana maisha watanzania sijui wanautoa wapi
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kujitambua maana ndoa sometimes ni mtihani ..wala usikimbilie kabisa ,
 
marriage is beautiful but only when you are in love and ready for it. some day you are gonna wish it happened sooner.
 
Khantwe, mbona nimeheshimu Sana tu. Huoni wadada wasio na mwelekeo wa kuolewa wanajipa matumaini kupitia bango la Rapunzel...

Ni kwelii kabisaa watu wanalilia ndoa wanashinda kwa wagangaa,ukweli hayupo ambae hapendi kuolewaaa yaa hayupo huaga wanajifariji tuuuu
 
Last edited by a moderator:
Ni kwelii kabisaa watu wanalilia ndoa wanashinda kwa wagangaa,ukweli hayupo ambae hapendi kuolewaaa yaa hayupo huaga wanajifariji tuuuu

Penye ukweli lazima tuseme tu, hatuwezi kupingana na asili, that's nature, mtu atake asitake wengi wa wadada wanafanya kila wawezalo kufikia ndoa. Hayo mengine ni blaa blaa tu. Huyo Rapunzel anaongea tu coz labda hajampata anayeendana na vigezo (ATM).
 
Last edited by a moderator:
Mimi hata hili bango lisingewekwa I would remain the same..... Huu utaratibu wa kupangiana maisha watanzania sijui wanautoa wapi

Sio kupangiana maisha Khantwe, it's mother nature calling...
 
Last edited by a moderator:
Ni kwelii kabisaa watu wanalilia ndoa wanashinda kwa wagangaa,ukweli hayupo ambae hapendi kuolewaaa yaa hayupo huaga wanajifariji tuuuu
Dinazarde usikariri my dia.....shukuru Mungu kwa vile ulimpata mwanaume wa ndoto zako....ndoa ni nzuri but only and only if ukimpata yule mbayependana kwa dhati.
 
Last edited by a moderator:
Sio kupangiana maisha Khantwe, it's mother nature calling...

Sawa its nature calling...bas hiyo nature niione mimi mwenyewe sio kuoneshwa nini cha kufanya.
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde usikariri my dia.....shukuru Mungu kwa vile ulimpata mwanaume wa ndoto zako....ndoa ni nzuri but only and only if ukimpata yule mbayependana kwa dhati.

Ni kweliii lakini hayupo ambae hapend kuolewaaa
 
Last edited by a moderator:
nimekuuliza tu kimtego

umebwabwaja utafikiri umewekewa morta khaaaaa
hahahaaa! aisee baadae sana! sina mpango wa kuoa wala wazo hilo halijaletwa wala halijaja kichwani mwangu..
bado nina modules nyingi sana kichwani zinasubiri kupitiwa sis!...

at 30 hujaolewa? halafu ukiulizwa unakasirika? hm! hm!

vipi kama ungekuwa huna ajira halafu ukaulizwa kama ushapata ama la? je ungekasirika?

kuna maswali mengine bhana yanastua, hata kama hayawahusu lakini ujue muda ndo huooo ushakutupa mkono!
 
Wewawapi unafuata nyayo za bibiyako be kidude?teh teh kikongwe hichooo !huoni Aibu mtaani wataanza kukuita mjane kumbe hata hujaolewa.anyway tumika tu shost ukichakaa ndo utaona umuhim wa mume.
 
utasubiri sana kama una attitude ya hivyo na hata ukimpata lazima ije ikutokee puani kwani unaolewa na mtu au pesa zake?kwa taarifa yako wengi walioolewa na wenye pesa wanaishiaga tu kuyaona na kuyahesabu magari hata kuyagusa tu hawayagusi speaking out of expirience,kama ni pesa si uzitafute tu hata wewe?
7.Sitaki kuolewa na mtu ambaye hana pesa aka mlalahoi.
 
Wasalaam wana MMU,

Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana . Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?

Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa? Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi", kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi?

Msimamo wangu:

1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi

2. Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda

3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa

4. Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa

5. Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion (ndoa sio fashion)

6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nope

Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.

XoXo
Umenikunaaa!! heri wewe umeulizwa na shangazi mie kuna mtu kanifata kabisaa eti ananishauri umri unaenda mbona siolewi nilimtoa baruu kama paka mwizi .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom