Sitaki kuolewa

Sitaki kuolewa

amu umenipa rahaaaa mara gafla leo hajaolewa wadogo zake ndo wameolewa, kavurugwa hana lolote huyo..Husninyo uko wapi shogaaaa naona kwny post yake ulicomment

nipo shogangu! naona amu kapasua jipu. kama namuona bidada sahv anasoma comments zetu kwa jicho moja. lol!
hivi aibu yake aibu yetu?
 
Last edited by a moderator:
hahaha ndo maana kuna mtu mmoja ana signature inasema "usiamini kila ninachopost Jf"

shosti kwa makavu nimekuvulia kofia.

Ha ha kweli kabisa humu leo mtu anasema mke wa mtu kesho single mom keshokutwa kaokota mwanaume humu wamegegedana weee wakafumaniana another kantrii mtondogoo wanayatimisha watoto wiki ijayo wanapeana 10 m kesho yake inakuja kuwekwa humu.
Jana ya katikati masomoni bollywood na kina Amita...
Aaaa ngoja nilale mie.
 
hahahaha!!! hili nalo neno. kuna wanaume ni wasweet jamani. unatamani kuwa nae mda wote, ukitangaziwa ndoa misimamo yako yote unaweka kando.

lol mnamtamanisha mwenzenu jaman,. sipati picha anavosoma hizi comments Rapunzel anajisikiake kimoyoni moyoni acha tu ile ya kujikaza kisabuni hah hah ndoa ina raha yake banah ..
 
Ha ha kweli kabisa humu leo mtu anasema mke wa mtu kesho single mom keshokutwa kaokota mwanaume humu wamegegedana weee wakafumaniana another kantrii mtondogoo wanayatimisha watoto wiki ijayo wanapeana 10 m kesho yake inakuja kuwekwa humu.
Jana ya katikati masomoni bollywood na kina Amita...
Aaaa ngoja nilale mie.

hahahaha!!! kumbe shosti kashatendwa na mahusiano mpaka mwenyewe kasema k imekuwa ya baridi. lol! yaani uskute humu ndani mi na wewe tu ndo wakweli.
 
lol mnamtamanisha mwenzenu jaman,. sipati picha anavosoma hizi comments Rapunzel anajisikiake kimoyoni moyoni acha tu ile ya kujikaza kisabuni hah hah ndoa ina raha yake banah ..

rapunzel kakutana na mibazazi ya mjini, lazma achukie ndoa ingawa anasema alishawah kuolewa na watoto wawili anao. jf kwa usanii jaman!
 
nipo shogangu! naona amu kapasua jipu. kama namuona bidada sahv anasoma comments zetu kwa jicho moja. lol!
hivi aibu yake aibu yetu?

naona inakuuma ulivyokuwa unajitutumuwa kutoa ushauri kwenye zile thread za mwanzo.
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana nlisema hajapata wa kumuoa ana stress..wote wanapiga wanasepa..hata hyo serious relatnshp ile ya kuulizwa baby u slipin olrdy? Pengine hanaaa..ndo maana kutwaa anatunga story ajifariji...hheee eeehh ngoja nilale kanikera huyu hlf cjui nimekasirika nini kkiiirrruuuu
 
Wala simuogopi na sioni sababu ya kuogopa maisha yanachange kila siku sio yale yale
 
Last edited by a moderator:
naona inakuuma ulivyokuwa unajitutumuwa kutoa ushauri kwenye zile thread za mwanzo.

wala hainiumi matola ila anadeserve kupata anachokipata sahv. acha tumpe haki yake. au sio shem!?
 
Kazana mpaka ufikishe miaka 40(supu ya kongoro) utatoa free p mwenyewe 2nakusubri
 
hahahaha!!! kumbe shosti kashatendwa na mahusiano mpaka mwenyewe kasema k imekuwa ya baridi. lol! yaani uskute humu ndani mi na wewe tu ndo wakweli.

Ni mimi na wewe wengine wote wachina.
 
Ndo maana nlisema hajapata wa kumuoa ana stress..wote wanapiga wanasepa..hata hyo serious relatnshp ile ya kuulizwa baby u slipin olrdy? Pengine hanaaa..ndo maana kutwaa anatunga story ajifariji...hheee eeehh ngoja nilale kanikera huyu hlf cjui nimekasirika nini kkiiirrruuuu

hahaha!!! mie kanifurahisha maana tushaidivert mada. usilale bana, niitie amu ampunguze Munkari bibie.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom