Ha ha ha ha ada yenyewe mwaname alisema kamchangia humu ndani.
Ha ha shosti mi India naenda kula Jerebi tu darasani kwangu failers wote walienda India na Malaysia.
Wengine mie nliwasaidia kutengeneza cheti za form 6 wakasome wakapoteze mda huo.
kusoma nje deal shogangu ila inategemea umesoma kwa msaada wa loan board au kwa pesa yako mwenyewe!!!
sina uhakika kama kusoma india napo deal.... lol! nahisi wahindi walikuwa hawapumui huko.
Umeiona fursa hiyo dogo?
Ikamate basi twen zetu...lol!!
Babu DC!!
nasikitika kuona wsogombana wote nahusiana nao.
Afu sababu mie kimbaombao hata hawasikii nikiwaamulia.
Am too old ujue?
Teh teh teh...I love chick-fights!
Ni deal moja wapo tena kwa kusoma bila ya mkopo
Kwa nini wasipumue? Asiyepumua huyo mchafu koge
I hate it with all my heart, mie mtu akini attack kwa maneno nasepa fasta, labda tupige mkono atakayeshindwa adabu mbele kama tai.
Tukana utukanavyo ila hujaweka tusi jipya bado.
Ya kwako ni ya zamani.
T
Mie nauza kwa wa bongo wenye nguvu zao do maana siweweseki kama wewe mwenye kuuza kwa vibamia vya kihindi visivyo na nguvu.
Upo hapo?
I hate it with all my heart, mie mtu akini attack kwa maneno nasepa fasta, labda tupige mkono atakayeshindwa adabu mbele kama tai.
Eeeeh kigodoro a.k.a kimkeka kimeanza, silali mie leo mbona hahaha
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Eeeeh kigodoro a.k.a kimkeka kimeanza, silali mie leo mbona hahaha
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums