Sitaki kuoa maishani

wanajifanya kama vile kwa wanawake ni wajibu kujitunza kwa ajili yao ila wao ni haki kukitembeza na siku wakia,ua wanataka kumfanya mmoja awe mke basi ni kwa ajili yao tu

hapo chacha! Hawajui hata vya kwao vinadepreciate vile vile.
 
Na nyie acheni kutongoza tongoza hovyo hovyo...ukimpenda oa jumla basi...

Na hapa hamna shutuma ila tunanyoosha maneno yako, unatakaje usichostahili?!!
sasa hapa ndio umeongea pont..lakini kwani lazima mtu akikutongoza umpe? au umchekee chekee? ukimlia bati au kumpa bonge la sonyo kwani utapungukiwa na nini? ppunguzeni roho nzuri.
undd!! tchao!
 
afadhali maana nilikosa raha. Lol.
Mi wanaume huwa wananishangaza, wanaona ubaya wa wanawake tu ila wao hawauoni. Mwanaume kutembea na wanawake wengi atajigamba kama vile ni sifa nzuri ila kwa mwanamke watamponda wakati tendo lililofanyika hapo ni lile lile.
wewe dada yangu hata siku moja usijifananishe na wanaume au kwa vile umeona mkaka flani ni kiwembe basi na wewe ukamuigilizia ukaanza kugawa gawa kipipi hiko..litakushuka nakuambia kabisa..mdada mzuri ni yule ambaye hatoi ovyo na hatongozeki kirahisi..hujui kama wewe ni mrahisi wanaume huwa wanahadithiana...na watakufuata kama nyuki kila mmoja akitaka amege aondoke zake.
undd!! tchao!
 
wanajifanya kama vile kwa wanawake ni wajibu kujitunza kwa ajili yao ila wao ni haki kukitembeza na siku wakia,ua wanataka kumfanya mmoja awe mke basi ni kwa ajili yao tu
asa kumbe na nyie mna haki ya kukitembeza tembeza kwa watu tofauti?
 
sasa mimi siifuti ..na nina uhakika nitakutana na ambaye hajamegwa..nyie kuleni waliomegwa na wanaoendelea kumegwa
undd!! tchao!
Ukishakutana naye then what next?
Unafikiri ndio utakuwa final man kwake? Haya mambo hayana formula maalum!
 
Ukishakutana naye then what next?
Unafikiri ndio utakuwa final man kwake? Haya mambo hayana formula maalum!
duh!! watu wa dizaini yako ndio mkeo anagawa then unamsamehe ,anagawa tena unamsamehe, anagawa tena unamsamehe kwani hata wewe unamega nje.....unafikiri ambao hawajamegwa hawapo? usiwadhalilishe dada zetu bwana ..ambao hawajamegwa wapo kibao tu.
 
asa kumbe na nyie mna haki ya kukitembeza tembeza kwa watu tofauti?
Kijana wacha tufupishe safari, ni hivi jukumu la kujitunza kujiheshimu na kuwa mwaminifu si la jinzia moja tu...sawa eeh?
 
Kijana wacha tufupishe safari, ni hivi jukumu la kujitunza kujiheshimu na kuwa mwaminifu si la jinzia moja tu...sawa eeh?
Muulize huyo BHT!
Halafu sijapenda alivo generalize kua wanawake wa siku hizi (implied wote) sio waaminifu.
Hajawatendea haki wale ambao ni waaminifu. Yeye mwenyewe ni muaminifu?
 
kweli we hasara kwaio hawa unaowaparamia bila kuwaowa hawamegwii?? una uhakika gan??
it seems hujuamin kbs yan, well io kitu itakucost ss hata ukija kuoa utamuona binty wa watu yale yale wakatii siye lol!
embu kuwa mwanaume imara basi afu uje na urguement zingine nzurii!
 
Excellent na wenzio hamtaki kuoa kisa kumegewa,
mliomega wataolewa na nani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom