Mchumba amebadilika na kuwa mlokole, sasa ni tabu tupu, bora kuoa mpagani

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,473
2,000
Nimekaa nae karibu mwaka mmoja sasa, tulikua fresh tu, mambo yote ya kidunia hadi pombe sometimes wote tulikua tunakunywa tukiwa pamoja hasa hizi softies.

Ana mapenzi ya kweli na ni mzuri kweli kweli, ni mwanamke flani hivi mgumu kuingia kwenye mahusiano na mtu hata mie nili hustle sanaa kumpata.

Hivi karibuni sijui alikutana na nabii gani huko mitaani akambadilisha, kwa hakika hawa mitume na manabii wa mitaani wana nguvu na ushawishi kwa watu wenye roho nyepesi na za uoga, ni nabii ndio kambadilisha mind set huyu mwanamke, kawa mjinga wa mwisho duniani, yaani ujinga unapoishia ndio yeye anapoanzia.

Mwanzo niliichukulia poa, nikasema ni kitu kizuri kuwa na mke mchaMungu na hata mie nitakua free sanaa na michongo itazidi kumiminika sababu kubwa la maadui liko kwenye maombi kuninyooshea njia.

Vituko vikaanza akaanza kugoma kushiriki sex kama masikhara, kwanza haikua serious niliona kama akigoma usiku basi asubuhi anatoa, akigoma leo kesho ananipa fresh mno, baadae akaanza kugoma jumla na kufikia hapo nikasema sasa rasmi hapa hakuna mke tena.

Anasali sanaa, status anaweka kwaya masaa 24 na amebadili mavazi na mtazamo, nikimtext meseji zetu zile za kumuamsha hisia ni anachukia balaa, siku moja nusu aniue kwa hasira tulikua tumekaa nae na nikamgusia namna k. yake ilivyo amaizing, vitu ambavyo hapo mwanzo ilikuwa kawaida yetu kuvizungumza as unajua wapenzi wanavyokuaga.

Sasa mgomo moto ukaendelea, ule mgomo sio baridi, sasa nikaanza kuona drama zimekua nyingi na ndani naonekana kama mimi ni li freemason lenye mapepo, nahisi nabii alimwambia hivyo.

Nikajisemea huyu mwanamme sasa hivi ni gaidi la ki kristo, isis kabisa, so hanijui nadhani mie ndio papa Benedikto namba 16, basi nikampigia simu mchepuko wangu tena toto zurii zurii haswa halafu bado dogo tu, basi akantuliza bibie mie niseme nini nisipewe ee, narudi zangu home huko nilikotoka nimejilia vyangu mpaka naloweka, nikizusha safari za mikoani kikazi siku moja aaah mama katekista wala hana noma kwanza ndio ana furahi hakuna usumbufu.

Sasa imepita muda kidogo since nijisumbue nae kuomba game na simuombi wala kumwambia chochote, yeye ndio kwanza hata hastuki zaidi ana nipongeza kwa kuweza kumvumilia na kulishinda pepo la ngono,sad, juzi wakati ananipa pongezi hizo kidogo nimtukane tusi zito ili abebe na vitu vyake kabisa aamshe hapo home.

Kila nikimuangalia naiona dhamira yake ni nzuri sanaa na anacho kifanya ni kizuri kwa uzima wake wa milele, ila anakosea kwenye approaches, na mie sitaki tena kuongea nimechoka, nimempeleka places nikaongea nae kwa kirefu na kumwambia mipango yangu kwake na ofcoz sikuona mwingine wa kuoa na nikamwambia kila jambo liwe na kiasi, anakwambia ameelewa, tukirudi nyumbani yale yale tu, this is too much na sitaki tena ushauri wa mtu.

Nimetoa kama ushuhuda tu na sijui wenzangu mliweza kuyapita vipi maswaibu kama haya na too bad kadri siku zinavyokwenda ndio bora ya jana na ndio kwanza anaenda kukesha na kwenye masemina ndio kazi yake, na hana kazi huyu. Mchepuko kayajua haya madhaifu sasa ndio kama anafanyia sifa, siombi napewa, nnalishwa na mtoto ni screamer, naughty and wild.

Natamani mlokole wangu aniambie "baby its over" nitafanya bonge la party.

Nyie wadau labda mnipe ushauri namtoa vipi huyu katekista wa kike ndani kwangu aje huyu mama yenu mdogo wa pembeni tulisongeshe.
 
SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
130,903
2,000
Walokole wanawezana wao kwa wao. Ili muende sawa hapo na wewe itakubidi uokoke vinginevyo hakuna kitu. Ndoa nyingi zimevunjika kwa sababu hii na hawa manabii na mitume wana uwezo mkubwa wa kushawishi na kupumbaza. Wakimkamata sawa sawa hata kama ni mkeo wa ndoa basi kwishnei. Muda wote ni kwenye maombi na mikesha na resources zote zitaishia huko.

Kuwa mwangalifu ili usiwe kipingamizi cha wokovu wake; na haya mambo yako ya uzinzi. Ikibidi mwache aende atapata walokole wenzie huko walisongeshe! Na nijuavyo mimi, mlokole (wa kweli) hawezi kuishi na mwanaume nje ya ndoa takatifu.
 
hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,893
2,000
Bulaza unaelekea kufeli mda sio mrefu. Nakushauri kaa na huyo binti mwambie unataka kumuoa. Ameshabadilisha lifestyle ila cha kushangaza wewe bado uko kwenye maisha yako ya Misri wakati yeye anajitahidi kuisogelea Kanaani. Ukimtangazia ndoa huyo binti utajikuta unajipokelea mibaraka mingi sana kwa sababu kwanza mlikuwa wote Misri na ye ameshaonesha nia na dhamira halisi ya kubadilika. Angalizo la msingi, ukikubali kumuoa lazima ujipange kubadilisha maisha haya unayoishi sasa. Lazima uwe mtu wa church na mengineyo. Huyo binti mzuri wala usimuone boya.

Muache wajanja wamchukue halafu uone wanavyotambalia nyota. Utafeli huku unakuja kusoma hii post yangu unalia. Nisikilize mimi mzee Baba. Shauri yako.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
53,822
2,000
Nimekaa nae karibu mwaka mmoja sasa, tulikua fresh tu, mambo yote ya kidunia hadi pombe sometimes wote tulikua tuna kunywa tukiwa pamoja hasa hizi softies.

Ana mapenzi ya kweli na ni mzuri kweli kweli, ni mwanamke flani iv mgumu kuingia kwenye mahusiano na mtu ata mie nili hustle sanaa kumpata.

Hivi karibuni sijui alikutana na nabii gani huko mitaani akambadilisha, kwa hakika hawa mitume na manabii wa mitaani wana nguvu na ushawishi kwa watu wenye roho nyepesi na za uoga, ni nabii ndo kambadilisha mind set huyu mwanamke, kawa mjinga wa mwisho duniani, yaani ujinga unapoishia ndio yeye anapo anzia.

Mwanzo niliichukulia poa, nikasema ni kitu kizuri kua na mke mchaMungu na ata mie ntakua free sanaa na michongo itazidi kumiminika sababu kubwa la maadui liko kwenye maombi kuninyooshea njia.

Vituko vikaanza akaanza kugoma kushiriki sex kama masikhara, kwanza haikua serius niliona kama akigoma usiku basi asubuhi anatoa, akigoma leo kesho ananipa fresh mno, baadae akaanza kugoma jumla, na kufikia hapo nikasema sasa rasmi hapa hakuna mke tena.

Ana sali sanaa, status anaweka kwaya masaa 24 na amebadili mavazi namtazamo,nikimtext meseji zetu zile za kumuasha hisia ni anachukia balaa, siku moja nusu aniue kwa hasira tulikua tumekaa nae na nikamgusia namna k. yake ilivyo amaizing, vitu ambavyo hapo mwanzo ilikuq kawaida yetu kuvizungumza as unajua wapenzi wanavyokuaga.

Sasa mgomo moto ukaendelea, ule mgomo sio baridi, sasa nikaanza kuona drama zimekua nyingi na ndani naonekana kama mimi ni li freemason lenye mapepo, nahisi nabii alimwambia ivyo.

Nikajisemea huyu mwanamme sasa iv ni gaidi la ki kristo, isis kabisa, so hanijui nadhani mie ndio papa benedikto namba 16, basi nikampigia simu mchepuko wangu tena toto zurii zurii haswa alaf bado dogo tu, basi akantuliza bibie mie niseme nini nisipewe ee,narudi zangu home huko niliko toka nimejilia vyangu mpaka naloweka,nikizusha safari za mikoani kikazi siku moja aaah mama katekista wala hana noma kwanza ndo ana furahi hakuna usumbufu.

Sasa imepita muda kidogo since nijisumbue nae kuomba game na simuombi wala kumwambia chochote, yeye ndio kwanza hata hastuki zaidi ana nipongeza kwa kuweza kumvumilia na kulishinda pepo la ngono,sad, juzi wakati ananipa pongezi hizo kidogo nimtukane tusi zito ili abebe na vitu vyake kabisa aamshe hapo home.

Kila nikimuangalia naiona dhamira yake ni nzuri sanaa na anacho kifanya ni kizuri kwa uzima wake wa milele, ila ana kosea kwenye approaches, na mie sitaki tena kuongea nimechoka, nimempeleka places nikaongea nae kwa kirefu na kumwambia mipango yangu kwake na ofcoz sikuona mwingine wa kuoa, na nikamwambia kila jambo liwe na kiasi, anakwambia ameelewa, tukirudi nyumbani yale yale tu, this is too much na sitaki tena ushauri wa mtu.

Nimetoa kama ushuuda tu na sijui wenzangu mliweza kuyapita vp maswaibu kama haya na too bad kadri siku zinavyokwenda ndo bora ya jana na ndo kwanza anaenda kukesha na kwenye masemina ndo kazi yake, na hana kazi huyu .
Mchepuko kayajua haya madhaifu sasa ndio kama anafanyia sifa, siombi napewa, nnalishwa na mtoto ni screamer, naughty and wild.

Natamani mlokole wangu aniambie "baby its over" ntafanya bonge la party.

Nyie wadau labda mnipe ushauri namtoa vp huyu katekista wa kike ndani kwangu aje huyu mama enu mdogo wa pembeni tulisongeshe.
Umemuoa?
 
666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,473
2,000
Walokole wanawezana wao kwa wao. Ili muende sawa hapo na wewe itakubidi uokoke vinginevyo hakuna kitu. Ndoa nyingi zimevunjika kwa sababu hii na hawa manabii na mitume wana uwezo mkubwa wa kushawishi na kupumbaza. Wakimkamata sawa sawa hata kama ni mkeo wa ndoa basi kwishnei. Muda wote ni kwenye maombi na mikesha na resources zote zitaishia huko.

Kuwa mwangalifu ili usiwe kipingamizi cha wokovu wake; na haya mambo yako ya uzinzi. Ikibidi mwache aende atapata walokole wenzie huko walisongeshe! Na nijuavyo mimi, mlokole (wa kweli) hawezi kuishi na mwanaume nje ya ndoa takatifu.
Nimepanga kumwambia hili la mie nisiwe kikwazo chake cha wokovu wa milele, anaweza kuondoka tu sina jinsi, ila nakosa pakuanzia.
 
666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,473
2,000
Bulaza unaelekea kufeli mda sio mrefu. Nakushauri kaa na huyo binti mwambie unataka kumuoa. Ameshabadilisha lifestyle ila cha kushangaza wewe bado uko kwenye maisha yako ya Misri wakati yeye anajitahidi kuisogelea Kanaani. Ukimtangazia ndoa huyo binti utajikuta unajipokelea mibaraka mingi sana kwa sababu kwanza mlikuwa wote Misri na ye ameshaonesha nia na dhamira halisi ya kubadilika. Angalizo la msingi, ukikubali kumuoa lazima ujipange kubadilisha maisha haya unayoishi sasa. Lazima uwe mtu wa church na mengineyo. Huyo binti mzuri wala usimuone boya.

Muache wajanja wamchukue halafu uone wanavyotambalia nyota. Utafeli huku unakuja kusoma hii post yangu unalia. Nisikilize mimi mzee Baba. Shauri yako.
Shida kaka kwa sasa siwezi kuishi kama walokole ndugu yangu, siwezi kua nakesha kwenye makanisa, nilikua siku za mwisho mwisho kwenda kuchumbia ila ndo likaja na ilo, kwa kweli upande wangu nimejaribu sanaa kaka kulimaliza hili, lakini manabii na mitume wamenizidi nguvu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom