Sitaki kuoa maishani

Naona mnajifariji bure tu! Haya.....na siku ukiamua kutokuwepo kuwepo?

imani yangu imepungua bwana...........siku hizi hakuna anayekupenda kwa heart yake utakufa bure kwa presha
 
Maisha ni mipango na uchaguzi..
Mwanaume wa ukweli na anayejiamini hawezi kuogopa kumegewa!
When you are weak, lazima uwe na hiyo mentality ya kuogopa kupigiwa!
 
afadhali umeliona. Uswahiba umerudi eeh?
Kwa jibu la namna hii narudisha uswahiba bila kufikiria mara mbili...

Asituletee mambo ya kusema sijui haoi mwanamke ambaye 'hajamegwa' (nalichukia hili neno), yeye Je? Yu hali gani?
 
Kwa jibu la namna hii narudisha uswahiba bila kufikiria mara mbili...

Asituletee mambo ya kusema sijui haoi mwanamke ambaye 'hajamegwa' (nalichukia hili neno), yeye Je? Yu hali gani?

afadhali maana nilikosa raha. Lol.
Mi wanaume huwa wananishangaza, wanaona ubaya wa wanawake tu ila wao hawauoni. Mwanaume kutembea na wanawake wengi atajigamba kama vile ni sifa nzuri ila kwa mwanamke watamponda wakati tendo lililofanyika hapo ni lile lile.
 
teh teh we acha tu,unakula weeeee halafu bila matatizo,hata mke wa mtu anakubali...khaaa rahaaa...mi bado nipo nipo bhana
we jamaa yaani hawa viumbe hawana hata haya ..anabanwa kidogo tu anatoa mambo ..huku anajua kaolewa
undd!! tchao!
 
Jibu linamtosha hili
Ndo wale wale, unamtaka msafi wakati wewe mwenyewe mchafuzi namba moja!
sasa mnanishtumu nini? kwani mwanamke akikataa atabakwa jamani? unakataa tu basi unaondoka zako.tatizo mmejirahisisha sana mpaka watu imani ya kuoa imeshakufa
undd!! tchao!
 
afadhali maana nilikosa raha. Lol.
Mi wanaume huwa wananishangaza, wanaona ubaya wa wanawake tu ila wao hawauoni. Mwanaume kutembea na wanawake wengi atajigamba kama vile ni sifa nzuri ila kwa mwanamke watamponda wakati tendo lililofanyika hapo ni lile lile.
wanajifanya kama vile kwa wanawake ni wajibu kujitunza kwa ajili yao ila wao ni haki kukitembeza na siku wakia,ua wanataka kumfanya mmoja awe mke basi ni kwa ajili yao tu
 
sasa mnanishtumu nini? kwani mwanamke akikataa atabakwa jamani? unakataa tu basi unaondoka zako.tatizo mmejirahisisha sana mpaka watu imani ya kuoa imeshakufa
undd!! tchao!
Na nyie acheni kutongoza tongoza hovyo hovyo...ukimpenda oa jumla basi...

Na hapa hamna shutuma ila tunanyoosha maneno yako, unatakaje usichostahili?!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom