Sitaki kuoa maishani

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
Mazee life la siku hizi nimeshaona kuna mijitu kazi yao ni kumendea wake za watu ili limmege tu basi litulie........na dada zetu sijui wana roho gani........wana roho nzuri sana hawa wa siku hivi.............wakifuata mara moja mara mbili basi anatoa mambo..............mimi sitaki kuoa mwanamke ambaye alishawahi kumegwa na mtu mwingine........sitaki nasema sitaki..................hata mambo ya uvinza yanakuwa hayanogi tena kama sista do mwenyewe anatoa toa mambo nje........maana yake ni kuwa ukienda uvinza unalamba madudu ya wengine......nani anayataka haya?.......................sitaki kuoa.
Ukipenda niite double biii
 
na mimi sioi,hata waseme ni mapungufu ndo hivo sioi
wewe jamaa unaakili nyingi sana......hawa jamaa wengine ni wabishi ila hawataki kushirikisha akili zao...............umeona ee? mtu kaingiza muwa wake uko wewe unakuja unaenda uvinza.........unanipata kamanda ........
undd!! tchao!
 
ukimegewa na we tafuta wa mwenzako ummege..... inarejesha hadhi ya kiume mkuu!
 
wewe jamaa unaakili nyingi sana......hawa jamaa wengine ni wabishi ila hawataki kushirikisha akili zao...............umeona ee? mtu kaingiza muwa wake uko wewe unakuja unaenda uvinza.........unanipata kamanda ........
undd!! tchao!
teh teh we acha tu,unakula weeeee halafu bila matatizo,hata mke wa mtu anakubali...khaaa rahaaa...mi bado nipo nipo bhana
 
wewe jamaa unaakili nyingi sana......hawa jamaa wengine ni wabishi ila hawataki kushirikisha akili zao...............umeona ee? mtu kaingiza muwa wake uko wewe unakuja unaenda uvinza.........unanipata kamanda ........
undd!! tchao!

Kwani huyo ambae utakuwa hujamuoa, hawezi kutoka na wanaume wengine? Au penyewe huwezi ona kama ni uchafu kwa sababu sio mkeo?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom