Sitaki kabisa mume mlevi

Sitaki kabisa mume mlevi

Mzee wangu alikua anakunywa kistaarabu, sahv hanywi, mama alikua anagusagusa kidogo, so kunywa ni normal, na wamenisomesha hadi nikaunguza vitabu so hamna kitu kipya nitakachoona kwa mwanaume anayekunywa, km hana maadili ni yeye tu alone, usiunganishe wote, ni km kusema wanawake wote malaya just kwasababu dem wako umemfumania
Nimeipenda bure comment yako
 
Nadeclare interest napiga maji
 
Umesoma biometry?
Na sisi tunaokunywa Ijumaa tu glass moja.

Michezo tunacheza ila hatufuatilii. Sijui hata first eleven ya Chelsea... Ila nacheza michezo ya mipira.

-Sio mtu wa wanawake.

unaniweka kundi gani?
 
Yaani mwanaume mlevi simtaki kabisa.wanawake waliiolewa Na walevi wanapata tabu sana.bora niendelee kupiga miayo.
Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya me mke mwema ,namtoa out namnunulia pombe wee .from there najua nimsave au nimdelete .
Ila wanaume wa dar mnapenda pombe jamani.mtakuja kufumuliwa marinda nyie.
Mlevi hapana .sitaki kabisa.sijui umeamka?
Mimi sinywi pombe kabisaaa,ngoja nikuje mamaaa!!!
 
Tatizo ulevi unaonekana kwenye pombe tu vingine hatuvioni. Kila mtu ana ulevi wake. Kwa mfano mimi ulevi wangu ni kuwavua chupi underage, sasa sijui Miss Natafuta utanivumilia na ulevi huu. Ila pombe situmii.
 
Kwani mie mlevi nakutaka pia ? Nakunywea pombe zako nakula mzigo kisha nasepa zangu. Utaona manyoya tu ...
Yaani mwanaume mlevi simtaki kabisa.wanawake waliiolewa Na walevi wanapata tabu sana.bora niendelee kupiga miayo.
Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya me mke mwema ,namtoa out namnunulia pombe wee .from there najua nimsave au nimdelete .
Ila wanaume wa dar mnapenda pombe jamani.mtakuja kufumuliwa marinda nyie.
Mlevi hapana .sitaki kabisa.sijui umeamka?
 
Tofautisha wanywaji na walevi hao unaokutana jamaa zako unaokutana nao ni walevi.
 
nilibahatika kuolewa na kuachika,nikaolewa tena nikaachika,nikaolewa ndoa ya 3 nimeachika jana rasmi!wewe ni nani uweze kustick na mm😡😡😡😡😡😡🙁🙁🙁🙁
Wow kumbe ni mzoefu wa ndoa. We ndio unafaa kabisa kwangu maana sifa yangu kuu ni uvumilivu na ntakuvumilia kwa yote. Na sifa yangu nyingine ni kutokua na hasira hivyo nina uhakika kabisa kuwa nitastick na wewe. Hilo ondoa shaka. Mengine naomba tuhamie PM tukäyajenge.
 
hhahahahaha kwanza nimecheka signature yako.nahilo neno wow sehemu uliyoitumia ova kitenzi kisifa 😉🙁! aku!talaka bado inaniuma mm!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom