Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,514
- 23,696
Maisha sio ya kukariri, unaweza ukapata mume mlevi na akawa mwema kwako, na unaweza ukapata mume si mlevi ila akakusugua roho kisawasawa.
Rule 1 Ya Wanaume: Lazima mwanaume awe na starehe fulani kupunguza stress kichwani za maisha,
1) Either anywe pombe, kama hanywi basi namba mbili inahusika.
2) Awe kicheche wa wanawake kupita kiasi. Asipo kua kicheche, namba tatu inahusika.
3) Awe anakula Ganja au starehe nyingine ya kukipa kichwa ganzi. Asipokua mvutaji wa ganja, namba nne inahusika.
4) Awe mnafiki au mbea kama demu. Hua ni vieherehere, wajuaji, kazi kufatilia mambo ya watu na kusema watu, kuhamisha hamisha maneno toka huku kwenda kule.
Halafu namba 4 ni wanawivu balaa, mke akijipindua tu kashika simu anapekua sms na call dials. Hua wanajua mpaka mashoga zake mke wake wote, kuanzia wa saloon mpaka ofisini.
NB: Chagua unaehisi anakufaa kati ya hao juu.