Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,639
- 43,942
Mimi mnywaji wa pombe mlevi wa papuchiWachache sana hongera
Mimi mnywaji wa pombe mlevi wa papuchiWachache sana hongera
1-3 zinahusika,Ila kazi napiga ili niweze kupata vyote,nilijaribu kuacha pombe nikaishiwa hata 10 nakosa. Kunywa pombe upate akili.Maisha sio ya kukariri, unaweza ukapata mume mlevi na akawa mwema kwako, na unaweza ukapata mume si mlevi ila akakusugua roho kisawasawa.
Rule 1 Ya Wanaume: Lazima mwanaume awe na starehe fulani kupunguza stress kichwani za maisha,
1) Either anywe pombe, kama hanywi basi namba mbili inahusika.
2) Awe kicheche wa wanawake kupita kiasi. Asipo kua kicheche, namba tatu inahusika.
3) Awe anakula Ganja au starehe nyingine ya kukipa kichwa ganzi. Asipokua mvutaji wa ganja, namba nne inahusika.
4) Awe mnafiki au mbea kama demu. Hua ni vieherehere, wajuaji, kazi kufatilia mambo ya watu na kusema watu, kuhamisha hamisha maneno toka huku kwenda kule.
Halafu namba 4 ni wanawivu balaa, mke akijipindua tu kashika simu anapekua sms na call dials. Hua wanajua mpaka mashoga zake mke wake wote, kuanzia wa saloon mpaka ofisini.
NB: Chagua unaehisi anakufaa kati ya hao juu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hao wa daily mimi siwawezi kwa kweli.simara wewe😳!mara 1 kwa mwezi!hahhha kuna wale wanaokunywa daily..asbh anashtua anaenda kazin!jion ndo kabisaaa!arh
Mungu anakupa wa kufanana nae Mkuu, ndiyo maana wife karidhika na anakuongezea zikipungua.Sasa hapa sijui itakuwaje? Maana mimi kwenye jokofu langu lazima kuwe na bia za kutosha! Kila SIKU ni LAZIMA nipige moja au mbili baada ya Dinner,na zikipungua wife lazima aongeze! Japo yeye hagusi!
Nyie bado mpo kwenye fantasy tu, mwanaume anabadilika kuendana na familia yake, mwanamke ndo anaweza kumshauri na kumfanya mwanaume akabadilika, so huwez kupata mwanaume perfect kabla hujamwelewa kiundani
😀😀😀😀Kuna walev na wanywaji,
Ila Mim Namuomba Mungu Sana Mwanangu asinywe Bia, Aaaagh, Ukilowea ni ngumu sana kutoka.
Mzee wangu alikua anakunywa kistaarabu, sahv hanywi, mama alikua anagusagusa kidogo, so kunywa ni normal, na wamenisomesha hadi nikaunguza vitabu so hamna kitu kipya nitakachoona kwa mwanaume anayekunywa, km hana maadili ni yeye tu alone, usiunganishe wote, ni km kusema wanawake wote malaya just kwasababu dem wako umemfumaniaKuishi na mume mnywa pombe ni kipaji.
Mzee wangu alikua anakunywa kistaarabu, sahv hanywi, mama alikua anagusagusa kidogo, so kunywa ni normal, na wamenisomesha hadi nikaunguza vitabu so hamna kitu kipya nitakachoona kwa mwanaume anayekunywa, km hana maadili ni yeye tu alone, usiunganishe wote, ni km kusema wanawake wote malaya just kwasababu dem wako umemfumania
Kama ni mambo ya kujifunga kanga kiunoni na rungu mkononi basi zile vocabularies zako tufanye nimeshazielewa.Hahahah mwanafunzi ni Undefeated ,asokubali kufel sasa km unahisi utamtoa kwa TKO...Jipange sanaaaaaaaaaa.
Aya Sikichaa kapewa Rungu?? Ujifunge kanga kiunoni![]()




.Ila wanaume wa dar mnapenda pombe jamani.mtakuja kufumuliwa marinda nyie.
Mibia ya wasukumaHao balimi sijui ni wanyama gani!
Ogopa kiu ya ulabu, ni hatari sana haivumiliki 🙂.mm wangu pampula... macho kama kenyata!ila nshamjulia !wala simnunulii adhabu yake akiishiwa pesa....unaweza taka mpelelka kwa mwingira!ila kuwa na mlevi inahtai wito sana sana