Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
simara wewe😳!mara 1 kwa mwezi!hahhha kuna wale wanaokunywa daily..asbh anashtua anaenda kazin!jion ndo kabisaaa!arhNdiyo hapo, hata mimi mtu mlevi simuwezi!! mtu anywe hata kwa mwezi mara 1 na kwa staha.... sio kila weekend pombe utafikiri ana hisa TBL.


, sijawahi onja tangu nizaliwe