Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Hahahaa aka chaguo la wote.😀😀😀😀😀 kweli wewe paka blak
Huyo sio mwanaume, ni mke boraMwanaume kama hunywi pombe, hupendi mpira, hupendi mitoko basi jifunze na kufuma vitambaa.



Mkuu huyo ni kibibi kizee ila kama na wewe ni babu sawa mtaendana!Me sinywii,njoo inbox
Hapa umeongea point mkuu... mi ni mwendo wa ganja plus mtungi tu kulegeza stress za maisha.... nishamwambia mama watoto kuwa akitaka niache hivi vitu awe tayari kukaribisha michepuko maana ni lazma stress ziondolewe kwa namna yoyote ileMaisha sio ya kukariri, unaweza ukapata mume mlevi na akawa mwema kwako, na unaweza ukapata mume si mlevi ila akakusugua roho kisawasawa.
Rule 1 Ya Wanaume: Lazima mwanaume awe na starehe fulani kupunguza stress kichwani za maisha,
1) Either anywe pombe, kama hanywi basi namba mbili inahusika.
2) Awe kicheche wa wanawake kupita kiasi. Asipo kua kicheche, namba tatu inahusika.
3) Awe anakula Ganja au starehe nyingine ya kukipa kichwa ganzi. Asipokua mvutaji wa ganja, namba nne inahusika.
4) Awe mnafiki au mbea kama demu. Hua ni vieherehere, wajuaji, kazi kufatilia mambo ya watu na kusema watu, kuhamisha hamisha maneno toka huku kwenda kule.
Halafu namba 4 ni wanawivu balaa, mke akijipindua tu kashika simu anapekua sms na call dials. Hua wanajua mpaka mashoga zake mke wake wote, kuanzia wa saloon mpaka ofisini.
NB: Chagua unaehisi anakufaa kati ya hao juu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hahahahahahahahahah eve hv ww hujawah kuvuta bang kweli?hahahaahahaha nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMwanaume kama hunywi pombe, hupendi mpira, hupendi mitoko basi jifunze na kufuma vitambaa.
Kwanza atanuna anaona unapoteza hela, muache nyumbani mpige azam mango tumimi sitaki mwanamke sio mlevi yaan unatoka nae out wews ungonga vyombo yeye anakunywa maji khaa nadhani ananijazia nzi tu
hahahahahahahahahah eve hv ww hujawah kuvuta bang kweli?hahahaahahaha nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa





kwel kabisaKwanza atanuna anaona unapoteza hela, muache nyumbani mpige azam mango tu
tena azam ya moto!lolKwanza atanuna anaona unapoteza hela, muache nyumbani mpige azam mango tu
Mwanaume kama hunywi pombe, hupendi mpira, hupendi mitoko basi jifunze na kufuma vitambaa.
Mimi nimeamka salama namshukuru Mwenyezi Mungu
Waache hao wapambane na walokole wenzaoWanawake wa kilokole wasumbufu sana
Bonge bwana!! Wacha kupiga miayo njoo uolewe kabisa.Yaani mwanaume mlevi simtaki kabisa. Wanawake waliiolewa na walevi wanapata tabu sana bora niendelee kupiga miayo.
Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya mimi mke mwema, namtoa out namnunulia pombe wee from there najua nimsave au nimdelete.
Ila wanaume wa Dar mnapenda pombe jamani. Mtakuja kufumuliwa marinda nyie.
Mlevi hapana sitaki kabisaaa?!!
Natamani nami uje unitoe outYaani mwanaume mlevi simtaki kabisa. Wanawake waliiolewa na walevi wanapata tabu sana bora niendelee kupiga miayo.
Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya mimi mke mwema, namtoa out namnunulia pombe wee from there najua nimsave au nimdelete.
Ila wanaume wa Dar mnapenda pombe jamani. Mtakuja kufumuliwa marinda nyie.
Mlevi hapana sitaki kabisaaa?!!
Nitakutest Na konyagi kubwa mbiliNatamani nami uje unitoe out