The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,083
- 14,565
Mhh mi nikihakikisha unanipenda naacha pombe tatizo nakibamiaYaani mwanaume mlevi simtaki kabisa. Wanawake waliiolewa na walevi wanapata tabu sana bora niendelee kupiga miayo.
Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya mimi mke mwema, namtoa out namnunulia pombe wee from there najua nimsave au nimdelete.
Ila wanaume wa Dar mnapenda pombe jamani. Mtakuja kufumuliwa marinda nyie.
Mlevi hapana sitaki kabisaaa?!!