Nabisha maana A Man must have his own demons to please, so man without demons ni Jesus onlyUsikatae au kubisha ili mradi umebisha.
Kila dhambi iwe kiasi jamaniNabisha maana A Man must have his own demons to please, so man without demons ni Jesus only
The problem was not to understand, but usage/intention of that words. As it came to my attention how can be used at per!!!!!!
You will do something very important to me if u'll create a connection to that guy for me to learn those vocabulary of yours.
![]()


then get ready for the next level!! nitakuunga naye na utakua na uwezo wa ku decode the Words!!! Kuna jamaa mmoja hivi yani yeye hanywi pombe, haonekani kuwa na mademu mengi, hafuatilii mpira, msafi wa nafsi na mwili, hana umbea, mwenye busara,Kila dhambi iwe kiasi jamani



Apana niko smartest kijanaHapo ulipo umelewa
Sisi ndio wanaume, na tunajitambua madhaifu yetu. Ni vigumu kua mwaname sawa sawa bila kua na starehe fulani kupunguza stress za maisha. Au lasivyo unaweza kudata.Kwani hizo tambia mbaya lazima awe nazo?
Umenena kweli kabisaSisi ndio wanaume, na tunajitambua madhaifu yetu. Ni vigumu kua mwaname sawa sawa bila kua na starehe fulani kupunguza stress za maisha. Au lasivyo unaweza kudata.
Atake kuambia mwanaume hana starehe na ni mzima ujue ni muongo.
Ndo mapungufu yetu hayo, either wanawake wayakubali au wayakatae. Ila ndo hivo
Mi ni wa dar ila sikubaliani na utafiti wakeSisi wanaume wa Dar tutafanywa nini vile??? Naona maruweruwe kwenye maandishi.
Sasa hapa sijui itakuwaje? Maana mimi kwenye jokofu langu lazima kuwe na bia za kutosha! Kila SIKU ni LAZIMA nipige moja au mbili baada ya Dinner,na zikipungua wife lazima aongeze! Japo yeye hagusi!Ndiyo hapo, hata mimi mtu mlevi simuwezi!! mtu anywe hata kwa mwezi mara 1 na kwa staha.... sio kila weekend pombe utafikiri ana hisa TBL.
jina lako lina maukakasiHii avatar yako haijawai kuniacha Salama hata kidgo
Kwani mkuu hizo starehe za kupunguza stress ni lazima ziwe ni mambo ya hovyo hovyo?Maisha sio ya kukariri, unaweza ukapata mume mlevi na akawa mwema kwako, na unaweza ukapata mume si mlevi ila akakusugua roho kisawasawa.
Rule 1 Ya Wanaume: Lazima mwanaume awe na starehe fulani kupunguza stress kichwani za maisha,
1) Either anywe pombe, kama hanywi basi namba mbili inahusika.
2) Awe kicheche wa wanawake kupita kiasi. Asipo kua kicheche, namba tatu inahusika.
3) Awe anakula Ganja au starehe nyingine ya kukipa kichwa ganzi. Asipokua mvutaji wa ganja, namba nne inahusika.
4) Awe mnafiki au mbea kama demu. Hua ni vieherehere, wajuaji, kazi kufatilia mambo ya watu na kusema watu, kuhamisha hamisha maneno toka huku kwenda kule.
Halafu namba 4 ni wanawivu balaa, mke akijipindua tu kashika simu anapekua sms na call dials. Hua wanajua mpaka mashoga zake mke wake wote, kuanzia wa saloon mpaka ofisini.
NB: Chagua unaehisi anakufaa kati ya hao juu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
jina lako lina maukakasi
mpe namba yang plsKuna jamaa mmoja hivi yani yeye hanywi pombe, haonekani kuwa na mademu mengi, hafuatilii mpira, msafi wa nafsi na mwili, hana umbea, mwenye busara,
Ukimwona nishtue![]()
Mkuu, Na wanawake wanaojiuza kwenye ma-bar wateja wao ni wanaume kundi lipi kati ya hayo uliyotaja?Duniani kuna wanaume wa aina tatu tu
-Wanaopenda pombe
-Wanaopenda wanawake
-Wanaopenda michezo
Ukiona mwanaume anapenda pombe na michezo basi Hugo atakuwa sio mtu wa wanawake sana
Ukiona ni mtu anayependa sports na wanawake basi huyo kwenye pombe hausiki sana
Tafiti zinasema wanaume wengi wasiokunywa pombe wana upungufu wa akili au hormones za testosterone.
Na wanaume Wenye iQ kubwa ni watumiaji wa pombe
https://www.psychologytoday.com/int...010/why-intelligent-people-drink-more-alcohol