sisty nyahoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Sisty Nyahoza ni Msajili wa CHADEMA. Kwa ajili “upekee” wa chama hicho, kinahitaji Msajili maalum

    Anaandika Askofu =AZZv8SDwpNZQpRAdKO0KM3ThuvGJtDPSFGl04-w6jloAbN6EASm_FzYjIbZQArOVFkLgh1DiCJVDAK3qPsqYMasa3LV7P0X0m6SjlPWu_Ptldy4rKTVd3lDL77LeI5jDhBLq1Qls9yYP_D95Nul4mPpOHh3e14MdedAzVykniFKnvXEkHKrh_yZp0miRQ0Du0DUuAqqqVpyc75gQfyGI-oew&tn=%2Cd-UC%2CP-R']Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Sisty Nyahoza: Ofisi ya Msajili Hajakiuka amri ya Mahakama kuwaandikia barua CHADEMA

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, kupitia kwa Naibu Msajili wa Ofisi hiyo Sisty Nyahoza imetoa ufafanuzi kuhusiana na madai ya kwamba barua iliyoandikwa 'kutoka kwao' kwenda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mei 26 mwaka huu inakiuka amri/ zuio la Mahakama lililotolewa hivi...
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kesi ya Mgawanyo wa mali za Chama iliratibiwa na Sisty Nyahoza na Salehe Bohora aliyetumwa na Rais Samia

    Kesi ya uongo ya mgogoro fake wa mali, ni kesi ya Msajili wa vyama.. Kesi husika ipo hapa>> Mahakama yafuta kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA Marehemu mama Komu alituelezea namna ambavyo Sisty Nyahoza, Msajili msaidizi akiwa na mtu anaitwa Salehe Bohora, walivyomfuata nyumbani kwake na kuomba...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nyahoza: Tumeiandikia barua CCM kauli za Chatanda

    Siku mbili baada ya Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Taifa, Mary Chatanda kusema akipewa dakika moja awe Rais atawafuta wapinzani, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiandikia chama hicho barua ya kujieleza. Chatanda alitoa kauli hizo Mei 18, 2026 mkoani Iringa wakati wa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika: Barua ya Msajili ni Hila za Kuizuia CHADEMA, Tuendelee na Ajenda ya Katiba Mpya! Free Lissu! Mpaka kieleweke!

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo Mei 16, 2026 akiwa Katoro amesema; "Niseme mambo machache mawili tu. Moja, niseme ni kweli tumeandikiwa barua hiyo na msajili wa vyama. Ni mwendelezo wa hila za kutaka kuizuia Chadema kuendelea kuwaunganisha Watanzania...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kwa Sisty Nyahoza: Hebu onesha kwa umma barua ulizowaandikia CCM ukiwatishia kuwafutia usajili wao kwa kauli za viongozi na wanachama wao

    https://www.youtube.com/live/9rRDBtpMBqU?si=64FYJTRZAy4diXUs Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kupitia kwa mtu mmoja tu aitwaye Sisty Nyahoza imeanza tena kutengeneza mwanya wa uwezekano wa kutokea kwa vurugu na mauaji mengine kwa sababu tu ya maamuzi na utendaji wao mbovu, wa kijanja janja...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nyahoza: Barua yetu kwa CHADEMA inasema kusimamisha chama kwa muda, sio kufuta

    Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza amesema barua waliyoiandikia CHADEMA imemaanisha kuwasimamisha kwa muda (suspension) au kuwatoza faini endapo watawakuta na hatia kulingana na maelezo watakayotoa na sio kuwafuta kwenye daftari la Msajili, kama ambavyo imekuwa ikijadiliwa. Soma...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naibu Msajili wa Vyama Sisty Nyahoza: Nilivyoona CHAUMMA mnarusharusha helikopta nikajua ndo walewale waliokuwa wanarusha kule

    Wakuu, Sisty Nyahoza akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu wa CHAUMMA alisema:
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sisty Nyahoza: Vyama vya siasa vimshukuru Rais Samia kwa kufungua Milango ya kufanyika kwa Mikutano na kudumisha Demokrasia

    Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa. Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania akiwa katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo, Machi 5, 2024. Sisty amesema kwa sasa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sisty Nyahoza, kwanini unawafanyia mtimanyongo Umoja Party? Hujui kuwa watanzania wanahitaji ukombozi?

    Umesahau wewe kama mtanzania ulishuhudia pesa nyingi za walipa kodi na Watanzania wanyonge zilikuwa zinaliwa na mafisadi wa CCM? Ila kuna Kiongozi alikuja akawabana na hao mafisadi na akafanyiwa fitina kubwa. Watanzania wanahitaji chama ambacho kitalinda rasilimali zao na kutetea maslahi ya...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenezi NCCR Mageuzi akiwa na jiwe mkononi huku akiwafurusha mamluki wa Sisty Nyahoza

    Huyu ndio anajua kupambania chama.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Msajili: Vyama vya siasa vingi haviweki fedha benki, hii ni kinyume cha sheria

    Naibu msajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza amesema katika uhakiki wa vyama vya siasa unaoendelea nchini wamegundua vyama vingi havihifadhi fedha za chama benki badala yake wanatumia njia za kienyeji kuhifadhi mapato ya vyama vyao. Nyahoza amesema sio utaratibu wa kisheria na amevitaka...
Back
Top Bottom