Now working as an independent recording artist, Sisqó has finished his third solo album, titled Last Dragon (to complete the trilogy), for release in 2008, but was never released. The first single, "Who's Ur Daddy" featuring the new artist E-money, has been released online, and a music video especially formatted for iPods, cell phones, and other digital devices has been released on YouTube.[5]
Sisqó appeared on CMT's Gone Country, a reality show about "non-country" artists vying to win a country music recording contract.
Sisqo sijui kawaje. Nakumbuka katika album yake ya Unleash the Dragon kulikuwa na wimbo Thong Song ambao yeye anadai aliimba kwa mzaha au majaribio lakini ndiyo ulikuwa wimbo bora wa R&B mwaka huo kwa tuzo za Billboard kama sijakosea.
Sisqo alipata kumpenda Mwanadada Maya lakini aligonga ukuta. Ah, yako wapi mapenzi? Nilimfahamu Sisqo kupitia wimbo Tell Me wa kundi lao Dru Hill mwaka 1996. Napenda wimbo wake wa Incomplete. Napenda pia maneno ya mwanzo ya wimbo Unleash the Dragon:
"What am about to do,
I am sure nobody expected,
that's why I do,
You all know me,
and am about to unleash the dragon.."
Sisqo anafanya vi-show vya club siku hizi. Mara ya mwisho kumsikia alikuwa Amsterdam Dec. 2010 baada ya last minute withdrawal sijui ya wasanii gani akaitwa Sisqo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.