Ushemeji wetu hauna uhusiano na taa...........😛hoto:
Asa mkifa si wapo wengine jaman babu,Maisha yenu bila wanaume raha mtaipatia wapi?:washing:
Asa mkifa si wapo wengine jaman babu,
Ili mradi kiapo kinasema ni mpaka kifo kitutenganishe,
Ukifa basi usajili unaendelea heee heeee!
Orayt......ngoja tumsubiri mwenyewe hapa........:focus:
Haaa haaa habari yako Mr Rocky,Aise si tunapendana
Mi naona tuweke kiapo kuwa tufe sote siku moja
Yaani hakuna cha kifo kututenganisha ila tunaondoka siku moja
Ewaaaaa! Ndio sisi, ndiyo zetu!Mwanaume halisi
Bado msimamo uko pale pale
Mngejua baada ya kifo nini kinatokea, mngeomba mnywe sumu muwahi kufa.......:nerd::hatari:Haaa haaa habari yako Mr Rocky,
Hiyo itabidi muandike propozo kwa mungu,
Ili hata kiapo kikiandikwa upya mungu awezeshe watu kufa pamoja,
Si muwahi kurudi hm ili msife mapema lol!
Haaa haaa habari yako Mr Rocky,
Hiyo itabidi muandike propozo kwa mungu,
Ili hata kiapo kikiandikwa upya mungu awezeshe watu kufa pamoja,
Si muwahi kurudi hm ili msife mapema lol!
Ewaaaaa! Ndio sisi, ndiyo zetu!
Mngejua baada ya kifo nini kinatokea, mngeomba mnywe sumu muwahi kufa.......:nerd::hatari:
Nani anywe sumu,Ewaaaaa! Ndio sisi, ndiyo zetu!
Mngejua baada ya kifo nini kinatokea, mngeomba mnywe sumu muwahi kufa.......:nerd::hatari:
Lakini nini tena mpenzi?:shock:
Haaa haa!'Am in love with your avatar......:eyebrows::eyebrows:😛oa