Sirudii kwenda nisipohitajika

Sirudii kwenda nisipohitajika

Ukiona mwanaume mzima analia ujue kweli kimempata.

Leo(maana saa 6 tayari) nimemwaga chozi... Sio utani kwakweli..

Nime enda kwenye event fulani hivi,

Watu wanapiga stori fresh tu(nao ni classmates)

Katika kuwapa hai, yaani ni kama I was just disturbing and killing the vibe..

Yaani ni kama kero kwao, like what the hell.. Just because sijafikia level ya kuwa na gari, ama maisha mazuri ndo niwe outcast? Walahi nimetoka pale na fedheha ya hali ya juu sana

Nika fika magetoni nakuanza kulia, maana ni kama nilikuwa nimeji disappoint mwenyewe kwenda kwa event ambayo najua fika wale sio watu wa kaliba yangu, kama mtu mwenye maono makubwa.. Kuwa na gari au kuwa na shinny objects sio kitu kwangu as long as na malengo makubwa ya maisha..

Chozi lilimwagika, ila nikakumbuka jana tu nilikuwa zangu town, nikaona kijana mmoja mdogo anatembea na mama wa makamo ambaye alikuwa kipofu, na yule kijana aliniangalia kwa kunidadisi sana na akaja moja kwa moja kwangu. Akaniomba msaada, na nilivyo mwanga lia tu usoni nikapatwa na huzuni, niliwasaidia japo wakale chakula..

So, baada ya hii event ya leo na kilicho tokea, nilipatwa na gadhabu, ila nikakumbuka despite hayo yote, kitendo cha mimi kuwa msaada kwa wengine it's a blessing... Hawa wanaotapa na shinny things ambao wengine ukute wanadrive ndinga za baba zao, na kumiliki iPhone 18, kumbe hawana issue ni ulimbukeni tu

So, baada ya tafakari nikajawa na amani since maisha hayo sio yangu in the first place.

Hii dunia, kuna watu wanaishi kwa ajili ya validation.. Na huo ndo mwanzo wa kuishi unfulfilling life.

Nimegundua ukiwa na malengo makubwa usikae in the wrong environment.. Ni rahisi sana kuchanganywa na kupoteza na watu wasio na kujali wala maono au malengo maishani.
Hao jamaa zako hawjui maisha..maisha nikama gwaride Kuna wa mwisho na wa kwanza ikisikika nyuma geuka wa mwisho anakuja wa kwanza..

Sisi wengine tumekuzwa kuheshimu mtu yeyote alie nacho na asiye nachoo

Mimi binafsi Huwa napenda NEGATIVE MOTIVATION unajua nini ulisema siwezi fanikiwa, sina akili, maskini au ukini MOCK mzee ndio unanimotiveti nifanikiwe zaidi

Maisha sio RALLY CAR RACING ni jambo la mudaaa tuuuu
 
Kama ulienda kutaka WAKUABUDU kwa 'UKIPANGA' wako 'enzi zile', POLE!
Siku nyingine nenda na nia njema ya kutaka tu kuanzia pale mlipoishia, na uombe lift na nauli ikibidi!
😁
THE KINGDOM OF GOD IS WITHIN ONESELF!
Ameen🙏🙏🙏

Am living with, "THE KINGDOM OF GOD WITHIN ME" Nita iweka kama mantra thanks kiongozii
 
Washamba tu . Watu tunakaa na watu wa kila aina ya hadhi na hawana huo ujinga . Badili marafiki, classmates si lazima wawe rafiki . Hao tena ndio wapinzani wakubwa manake mnajiita class moja sasa lazima mshindane kutoka na kwenda kwa class nyingine . Mtafute mwenzako mlikuwa mnasaidiana chabo labda huyo mtaelewana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee 😂
Huyo ndo alikuwa snitch mkubwa wacha niishi purpose yangu tu mkuu
 
Tabia yako ya kulia Lia hivyo

Itakusaidia kuishi maisha marefu coz utatibu sonona japo wahuni hawakawii kusema huo ni umama!!

Wanaume tunalia gizani huko na sio public!!!
Crying out loud is a medicine mkuu, it releases tensions in the body and soul.
 
Kuna kitu nikwambie kwenye hii dunia unaweza ukawashangaza wengi sababu unao uwezo mkubwa wa kuishi vyovyote na kufanya chochote cha kuwashangaza hata ambao hawakutarajia km utawashangaza, nimewahi kufanya hivyo halafu mimi ni bingwa wa kukata midomo, nakata na ulimi wa kila mshenzi kisha nautia mfukoni na nikimaliza hapo namshona mdomo wake ili siku zingine asiwe anaongea ongea sana, kuna mpuuzi hapa katikati alikua ananiongelea shit sana nikasema what the fucks is this? Nikazama ndichi nikafanya kitu changu fulani fulani ili kumuonyesha kua unachokiongea wewe haukijui na mimi haunijui sasa nitakuonyesha mimi ni nani, kilichomshangaza maana yake nikamkata mdomo, nikamkata ulimi kisha nikalishona domo lake ili next time asiropoke ujinga tena
Hakika kamanda..
Levelling up is the only great revenge
 
Muda mwingine unajikuta unaumia Bure kumbe watu wanafake life.
Kuna watu nlikuwa nawaonea wivu kumbe ni kufake,Wana Maisha magumu kuliko mie nsie na kitu.
Kikubwa ishi kwenye uhalisia wako,Kuna watakaokuona useless mzembe,lakini wapo wanaokuona wa maana,msaada kwao.
Thamani ya mtu haibebwi Kwa vitu anavyomiliki.
Nice words lovely sister❤️
 
Kwanza mm naona Jamaa ana insecurity.
Na pia alitaka alivyofika kwa hao classmates basi center of attention iwe kwake, na ndio maana ame-notice haraka kuwa watu hawajamshobokea alivyofika kama anavyotaka iwe.

Sasa hilo nalo ni la Kulia?. 😎😎😎.
Mwanaume unalia kisa watu hawajakunotice?.

Hii ni motivation tosha kuwa unatakiwa upandishe thaman yako. Na ku-level up.
Na sio kujifariji kuwa eti umesaidia omba omba na kuwa ww una maono makubwa.

maono Makubwa yafanye yaonekane. Kama yako tu kichwan na bado hayana matokeo. Ni kazi bure.
Mipango sio matumizi.

Lamomy hebu pitia kumbembeleza Chiwawa kabla hujaanza mishe zako. Nadhan bado anabubujikwa na machozi kama yale ya Lucas
Una mindset ya kijinga sana.. Ego inakusumbua, sijataka kubembelezwa nimeonesha how weak and insecure people are..
 
😄😄 Anahitaji mabadiliko

Mie mwenyewe nlikuwa hivyo,watu wa karibu wanaweza kukupita na kukupuuza kama huonekani.baadae nikaona niache kuwa insecure nami najifanya siwaoni Niko kule.nikaweka na umbali.sa hivi wao wanaulizana yuko wapi?


Lakini huyu mbona ni kama mtu anayeangamia for attention and recognition?mbaya zaidi Kwa watu asiowajua?
Wanamliza? Analia?
Ataweza kweli kuwa baba wa familia na mume wa mtu?
My lovely sister umeniwazia mabaya sana, inaonekana na wewe bado una mindset ya wamatumbi..

Nani aliye kwambia baba wa familia halii?

It's one of the mindset of insecure people to hide and numb their own feelings.

Kumbe na wewe ni wale wale tu.

Comment ya kwanza nimeikubali ila hii, Hapana aisee umeonesha weakness in thought and emotions
 
Kwa uppumbavu ulioandika hujaleza hata ilikuwaje hata mimi ningekua hao rafiki zako ningekui-ignore na kukuwasha makofi, unaandika mataputapu hoja yako haieleweki..
 
Nimegundua ukiwa na malengo makubwa usikae in the wrong environment.. Ni rahisi sana kuchanganywa na kupoteza na watu wasio na kujali wala maono au malengo maishani.
ilishawah nikuta pia mkuu, pole..... uzuri umekuwa na uelewa sasa no problm
 

Attachments

  • Ins_Saver_1211791291.jpg
    Ins_Saver_1211791291.jpg
    255.8 KB · Views: 1
Ukiona mwanaume mzima analia ujue kweli kimempata.

Leo(maana saa 6 tayari) nimemwaga chozi... Sio utani kwakweli..

Nime enda kwenye event fulani hivi,

Watu wanapiga stori fresh tu(nao ni classmates)

Katika kuwapa hai, yaani ni kama I was just disturbing and killing the vibe..

Yaani ni kama kero kwao, like what the hell.. Just because sijafikia level ya kuwa na gari, ama maisha mazuri ndo niwe outcast? Walahi nimetoka pale na fedheha ya hali ya juu sana

Nika fika magetoni nakuanza kulia, maana ni kama nilikuwa nimeji disappoint mwenyewe kwenda kwa event ambayo najua fika wale sio watu wa kaliba yangu, kama mtu mwenye maono makubwa.. Kuwa na gari au kuwa na shinny objects sio kitu kwangu as long as na malengo makubwa ya maisha..

Chozi lilimwagika, ila nikakumbuka jana tu nilikuwa zangu town, nikaona kijana mmoja mdogo anatembea na mama wa makamo ambaye alikuwa kipofu, na yule kijana aliniangalia kwa kunidadisi sana na akaja moja kwa moja kwangu. Akaniomba msaada, na nilivyo mwanga lia tu usoni nikapatwa na huzuni, niliwasaidia japo wakale chakula..

So, baada ya hii event ya leo na kilicho tokea, nilipatwa na gadhabu, ila nikakumbuka despite hayo yote, kitendo cha mimi kuwa msaada kwa wengine it's a blessing... Hawa wanaotapa na shinny things ambao wengine ukute wanadrive ndinga za baba zao, na kumiliki iPhone 18, kumbe hawana issue ni ulimbukeni tu

So, baada ya tafakari nikajawa na amani since maisha hayo sio yangu in the first place.

Hii dunia, kuna watu wanaishi kwa ajili ya validation.. Na huo ndo mwanzo wa kuishi unfulfilling life.

Nimegundua ukiwa na malengo makubwa usikae in the wrong environment.. Ni rahisi sana kuchanganywa na kupoteza na watu wasio na kujali wala maono au malengo maishani.
sometimes kwenye maisha ni muhimu kujishusha ili ufanikiwe. si ujinga kuomba connection. Tafuta hiki Kitabu ukisome 'Winning without intimidation'
51ARYT1MKHL._AC_UF1000,1000_QL80_.jpg
 
You are such a jerk mkuu.. Unahisi kulia ni weakness?
Kazana sana kuangalia movie wenzako wako serious na maisha kipiga pesa, halaf siku ukikutana nao unawepelekea vingereza vyako uchwara hivi wenzio wanakuonyesha matokeo ya hustle. UANZE KULIA TENA 😂😂😂😂😂
 
Muda mwingine unajikuta unaumia Bure kumbe watu wanafake life.
Kuna watu nlikuwa nawaonea wivu kumbe ni kufake,Wana Maisha magumu kuliko mie nsie na kitu.
Kikubwa ishi kwenye uhalisia wako,Kuna watakaokuona useless mzembe,lakini wapo wanaokuona wa maana,msaada kwao.
Thamani ya mtu haibebwi Kwa vitu anavyomiliki.
Kazaneni kutafuta maisha. Acheni wivu . Ofcourse ishi maisha yako, ila maisha mazuri. Hakuna sifa kuishi maidha magumu
 
Kazana sana kuangalia movie wenzako wako serious na maisha kipiga pesa, halaf siku ukikutana nao unawepelekea vingereza vyako uchwara hivi wenzio wanakuonyesha matokeo ya hustle. UANZE KULIA TENA 😂😂😂😂😂
Wewe ni kapuku tu ndo maana unaongea pumba..

Wengine tunamalengo makubwa sio kuimba na magari ya million 30...

We unaonekana ni wale jerk heads kazi kuzungumzia watu na matukio
 
Back
Top Bottom