Sirudii kwenda nisipohitajika

Sirudii kwenda nisipohitajika

Wewe ni kapuku tu ndo maana unaongea pumba..
Ahahahahahahah. Hujakosea bwana mdogo
Wengine tunamalengo makubwa sio kuimba na magari ya million 30...
Ahahahahahahahahah......malengo makubwa au sio? πŸ˜‚.
Ndoto za udakitariiiiii kwisha habariiiiiiii, zikapeperukaaa πŸ˜‚πŸ˜‚.
Endelea kuwa na malengo makunwa, wenzako wanakazana kufanya malengo yao madogo madogo, ukikutana nao ndio kama hivi sasa unaanza kulia lia 🀣🀣🀣🀣
We unaonekana ni wale jerk heads
Yaaan kabisaaaa mi ndio hao hao wala hujakoseaπŸ˜†
kazi kuzungumzia watu na matukio
Ahahahahahahahah.
Sasa hapa kwani aliyetuleta kwa uzi wako ni nani kama sio wewe unazungumzia matukio na watu waliokupiga gap maisha mpaka ukatoa machozi kisa wamekuona kama trash tu na vi malengo vyako.

Kumbuka: mipango sio matumizi.
Endelea kuota hivyo hivyo mwisho ujikojolee ndotoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapana, hii ipo kwenye jamii fulani fulani na huko hufanywa km mila na desturi, nimewahi kushuhudia kwenye hio jamii ukifika km wewe huna nyumba huwezi kukaa ukafanya mazungumzo na wale wanaomiliki nyumba, km wewe huna gari huwezi ukakaa chini ufanye mazungumzo na wale wenye magari, huna mtoto huwezi ukakaa unafanya mazungumzo na wenye watoto, huwezi kuongea na waliooa sababu wewe bado hujaoa, hio imekua km hamasa kwamba kwa mfano utasema sasa nataka kuongea na fulani na mimi sina mtoto nafanyaje?

Kamata kamanzi kamoja hapo kalikozubaazubaa mtaani piga mimba unapata mtoto, huyo aliekua haongei na wewe sababu huna mtoto akisikia unaitwa Baba fulani atataka kua na mazungumzo na wewe, sio wewe utataka kua na mazungumzo na yeye tena, sababu ya levels sasa level zenu zitakua zinaendana wenyewe hizo wanaziita levels,

wewe haujataliwa huwezi kukaa na watu waliotahiriwa eti unapiga nao story, story zenu zitakua haziendani au uchangiaji wako utakua wa hovyo lazima watakutimua tu utafute level zako mkae mzungumze,

wewe haujawahi kuzaa unakaa na waliozaa unajifanya wewe ndio unajua kuzaa kuliko wao yaan mazungumzo yenu yanakua hayaendani lazima watakutimua sababu ya levels
Kuna mambo mengine unafikiria mpaka unacheka.... Kwani aliyezaa, kutahiriwa ana kuwa na nyumba anamapungufu gani? Si ujuha tu huo.

Having something or nothing doesn't make you less of a person.
Kuna vitu vingine ni watu wana kuwa wana act kama wanyama
 
Nadhan watu weng wanahii kitu.
Ila jinsi umri unavyoenda na Ukikomaa kifikra.

Utagundua iko tofauti.

Mimi nilivyogundua na kujihakikishia kuwa kumbe kila mtu ana-worries na kujali maisha yake zaidi na kama anapoteza muda kukuongelea basi ni dk kadhaa. ambazo hazichukui au kukuondolea chochote.

Nikaacha kujali watu wananionaje au kuniongeleaje. Kwasababu kiuhalisia. Kama mm siku nzima siwez kukaa na kuongelea au ku-judje maisha ya mtu.

Basi na wao Hawana muda huo.
Ila najua kuna wajinga watakuwa nao ☺☺☺ na hata wakiwa nao huo muda. Mawazo yao na maneno yao hayanisaidii chochote.

Kitu Bora kufanya ni Kuwa bora zaid ya Jana. Kwa sababu yako zaid na familia yako na sio kwasababu ya watu wa nje.
Amazing comment.. Umepevuka kifikra kamanda..

No one gives a damn about you.. They'll talk for a second then worry about their own sh*t
 
Uko sahihi bro.
Umeongelea Levels up.

Mfano.
Samahan nitaongelea mfano personal.

Miaka kama 8 nyuma. Nilinunua kiwanja na nikaanza kujenga. Ila Hela ikakata wakat bado niko kwenye msingi. Na nikakaa miaka 3 sijapagusa. Hadi msingi ukapata ukungu wa kijani.

Jiran zangu wanaonizunguka mmoja ana ghorofa na mwingne nyumba kubwa na mwingne nyumba ya kawaida. Wote wana ukuta na mageti.

Nilikuwa nawasiliana kwa simu na hao wawil wenye nyumba za kawaida. Ili kama kuna matengenezo ya barabara au maendeleo mengne ya mtaa wanishirikishe. Ila hakuna aliyenishirikisha😊😊😊 na ukiongea nao kwa simu wala hakuna mtu anakuchangamkia.
Wananiona dogo na sina hela.

Ila Nyumba imeisha miaka kama 3 hiv na imependeza. Na ina geti na kagari kama wao.
Sasahivi tunaongea tunacheka na tuko mabesti na tuna ushirikiano wa kutosha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Had mwenye ghorofa ananipigia simu kama kukiwa na ishu mbili tatu kunipa taarifa.

Kwahiyo muda mwingne. Hii kutokupewa attention sehem. Tuigeuze iwe kama hamasa ya kupambana zaidi.

Na sio Kulalamika na Kulia
Hongera mkuu, ukikosa kitu na heshima inapungua. Alidhani you're just another loser. Ila baada ya kuona Umemaliza na kigari juu. Sasa heshima na kujuliana Hari kumerudi
 
Karibu kwenye mziki mkuu nafasi iliopo hapa natafuta densa au mnenguaji sifa kubwa awe ana uwezo wa kukata kiuno upo tayari?


🀣🀣🀣mwaya nakutania mkuu, usije kumind ila mi ndio naondoka hivoo pole sana, classs mate washenzi, nilipo haaribikiwa na maisha walini tenga alaf badae eti wana taka tuwe poa ahaa nikajichenga zangu
We jamaa comment zako huwa sizielewi sana, ila wafaa kuwa comedian tu, ama muigizaji
 
We jamaa comment zako huwa sizielewi sana, ila wafaa kuwa comedian tu, ama muigizaji
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahahaa pole, ila unajieleza sana

Kama ingekua kweli unajitambua na kujieleww wala hata usingelia, ungeondoka na kuendelea na mishe zako.

Haijalishi una gari au hauna, but You lost bro. A man crying for material stuffa like a kid or a woman, loser...
Tusijifanye wababe sana, kila mtu yuko fragile katika angle fulani kwenye maisha.. You aren't a robot

Ila kweli kulilia wanawake nilisha koma kabisa. Ni ungese wa hali ya juu
 
ila pamoja na yote tujifunze kuandika bila kuattack vulnerability ya mtu.

kila mtu hukutwa na weakest moment katika maisha na unaweza kujiamini kuwa huna insecurity ila iko siku ukiwa katika your weakest moment utalia machozi kwa kitu ambacho kinaweza kuonekana cha kitoto.

Na uzuri ni kuwa weakest moment hupita na wengi hujifunza kupitia hizo moment hivyo tusiwe majaji wa kuhukumu na kuwalabel watu walioamua kuwa strong na kushare their vulnerable moments. vinginevyo wangeamua kuficha kama wengi wetu tunavyojificha na yale yanayotuliza , hivyo tusiwe majaji ili wengi zaidi wajitokeze na pengine wapate msaada.
We ndo umeongea kitu ambacho kila mtu anapaswa kusikia..

People pretend and hide their cracks behind fake smiles and numbing, ila ukweli no one is perfect. Kila mtu ana some sort of soft spots hata iweje.

Alafu kushare sio weakness, ni stregnth
 
Ukiona mtu ana maisha mazuri alafu anamcheka yule ambaye bado anajitafuta basi ujue hayo mafanikio ameyakuta hajayatafuta au kuna shortcut ametumia kuyapata
Hakika kabisa, watu walio tafuta kwa jasho na damu wanajua machungu na hawawezi cheka asiye nacho
 
Hao jamaa zako hawjui maisha..maisha nikama gwaride Kuna wa mwisho na wa kwanza ikisikika nyuma geuka wa mwisho anakuja wa kwanza..

Sisi wengine tumekuzwa kuheshimu mtu yeyote alie nacho na asiye nachoo

Mimi binafsi Huwa napenda NEGATIVE MOTIVATION unajua nini ulisema siwezi fanikiwa, sina akili, maskini au ukini MOCK mzee ndio unanimotiveti nifanikiwe zaidi

Maisha sio RALLY CAR RACING ni jambo la mudaaa tuuuu
Na hata mimi ni hivyo..

My definition of success ni quite different na ya kwao, na ni najua ni jambo la muda tu, they'll be coming back to me again... IL aaitawaruhusu waje maana tayari wamesha onesha rangi zao
 
Kwa uppumbavu ulioandika hujaleza hata ilikuwaje hata mimi ningekua hao rafiki zako ningekui-ignore na kukuwasha makofi, unaandika mataputapu hoja yako haieleweki..
Mzee kwa hiyo walio komenti wote wame elewa kasoro weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kasheshe hii
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We naye siku hizi umekuwa wa kuschechela tu, what's wrong mdogo wangu?
 
Back
Top Bottom