Usipojali wanaokuzunguka sahau mafanikio

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,678
Reaction score
31,779
Moja ya kitu kikubwa nilicho jifunza mwaka huu ni kuacha kujijumuisha na watu wasio na mtazamo wangu, hasa katika life goals.

Nimejikuta sina rafiki, ila watu wote walikuwa kwenye maisha yangu walikuwa kama distractions tu.

Unajua kuwa you are the average of 5 people you sorround yourself with?

Nimejikuta napata amani na uhuru wa kuanza kufocus on my life goals, ambapo mwanzo ilikuwa ukimshirikisha rafiki, atatafuta kila mbinu ya kukuambia hicho kitu haiwezekani.

Ili fika hatua mpka ndugu na jamaa akaona nimewadharau, ila ndo ilikuwa njia pekee.

Kupata, watu sahihi inabidi kwanza uondokane na kila aina ya mtu asiye kwenye alignment na visions zako.

What you call luck is just a result ya wewe kujipositio mahala sahihi

Kama umezeoa kwenda kuangalia mechi za uefa na washkaji alaf etu unataka uje kuwa investor au mfanya biashara mkubwa, my friend, sahau hilo.

Kwanza inabidi ukubali, huna awareness na namna watu uliona kwenye maisha yako ni hindrance.

Baada ya ku let people go, I feel free to curate a new road map na connection imara for success.

Nawatakia mapumziko mema.
 
Hakika marafiki wanafiki
 
ok.🐒
 
Back
Top Bottom