Sirudii kwenda nisipohitajika

Sirudii kwenda nisipohitajika

Ahahahahahahah. Hujakosea bwana mdogo

Ahahahahahahahahah......malengo makubwa au sio? 😂.
Ndoto za udakitariiiiii kwisha habariiiiiiii, zikapeperukaaa 😂😂.
Endelea kuwa na malengo makunwa, wenzako wanakazana kufanya malengo yao madogo madogo, ukikutana nao ndio kama hivi sasa unaanza kulia lia 🤣🤣🤣🤣

Yaaan kabisaaaa mi ndio hao hao wala hujakosea😆

Ahahahahahahahah.
Sasa hapa kwani aliyetuleta kwa uzi wako ni nani kama sio wewe unazungumzia matukio na watu waliokupiga gap maisha mpaka ukatoa machozi kisa wamekuona kama trash tu na vi malengo vyako.

Kumbuka: mipango sio matumizi.
Endelea kuota hivyo hivyo mwisho ujikojolee ndotoni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Man up mzee, Wacha utoto.
 
Back
Top Bottom