Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,865
- 32,151
Ukiona mwanaume mzima analia ujue kweli kimempata.
Leo(maana saa 6 tayari) nimemwaga chozi... Sio utani kwakweli..
Nime enda kwenye event fulani hivi,
Watu wanapiga stori fresh tu(nao ni classmates)
Katika kuwapa hai, yaani ni kama I was just disturbing and killing the vibe..
Yaani ni kama kero kwao, like what the hell.. Just because sijafikia level ya kuwa na gari, ama maisha mazuri ndo niwe outcast? Walahi nimetoka pale na fedheha ya hali ya juu sana
Nika fika magetoni nakuanza kulia, maana ni kama nilikuwa nimeji disappoint mwenyewe kwenda kwa event ambayo najua fika wale sio watu wa kaliba yangu, kama mtu mwenye maono makubwa.. Kuwa na gari au kuwa na shinny objects sio kitu kwangu as long as na malengo makubwa ya maisha..
Chozi lilimwagika, ila nikakumbuka jana tu nilikuwa zangu town, nikaona kijana mmoja mdogo anatembea na mama wa makamo ambaye alikuwa kipofu, na yule kijana aliniangalia kwa kunidadisi sana na akaja moja kwa moja kwangu. Akaniomba msaada, na nilivyo mwanga lia tu usoni nikapatwa na huzuni, niliwasaidia japo wakale chakula..
So, baada ya hii event ya leo na kilicho tokea, nilipatwa na gadhabu, ila nikakumbuka despite hayo yote, kitendo cha mimi kuwa msaada kwa wengine it's a blessing... Hawa wanaotapa na shinny things ambao wengine ukute wanadrive ndinga za baba zao, na kumiliki iPhone 18, kumbe hawana issue ni ulimbukeni tu
So, baada ya tafakari nikajawa na amani since maisha hayo sio yangu in the first place.
Hii dunia, kuna watu wanaishi kwa ajili ya validation.. Na huo ndo mwanzo wa kuishi unfulfilling life.
Nimegundua ukiwa na malengo makubwa usikae in the wrong environment.. Ni rahisi sana kuchanganywa na kupoteza na watu wasio na kujali wala maono au malengo maishani.