moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,928
Kosa afanye yy, Lawama unajitupia ww?? Hebu mshukuru Mungu kwa kukudhihirishia huyo mtu hakufai na sio muaminifu, Songa mbele dont settle for less.. Usisikilize kauli za watu eti vumilia wanaume wote wanacheat... akija kukuletea maradhi lawama utampa nani? Ww ni wa thamani usikubali kufanywa Second Option.
Atleast unefanyika faraja asante n point taken
Ww fala nini? Nisivunje ndoa yake kwani mimi ndo nnae chepuka na bwana wake?
Ngoja nikupe Darasa huru wewe na wengine wote mnaopitia kwenye hali hii feysher : Kwanza kabisa sio kila mwanaume Dunia hii anacheat kama mnavyoaminishwa na waliochitiwa wenzenu! Wanaume wasiocheat bado wapo tena hata Tanzania hii ya Magufuli pia tupo ( nieleweke tu sitengenezi mazingira ya kukutongoza) Kwa hyo kama umethibitisha mtu anakucheat Sepaa haraka hakufai huyo haina haja ya kulialia hovyo sijui kuvumiliana Mvumilie mwanaume labda hana hela, Hajasoma, Mfupi, anaongea sana, Ana kitambi 🤣🤣, Hana kazi maalumu ya kufanya, hvyo vitu vinawezekana kabisa kuliko akina sisi tunaocheat sisi Usituvumilie kabiisa ukipata nafasi ya kugundua we kimbia shukuru Mungu maana huwa hatubadiliki hata siku 1 ukisema uvumilie utavumilia mpaka unakufa utabaki tu kuona wenzio instagram wanafurahia maisha ya ndoa zao,! Wewe hata kama ukiachika mara 100 kama Una jua nini unahitaji hakuna atakayekutaaa, kama unajitambua nini unataka hakuna atakayekubabaisha, Omba Mungu upate mume Bora! Mungu sio mchoyo, sio kipofu wala si kiziwi hakika maombi yako yatajibiwa tu! Siku nyingine ukiona tu Mwanaume anakuwa mgumu kukupa simu yake haina hata haja ya kumvizia anakunya ndo ukague simu yake, kote huko usifike wewe jiongeze tu hakuna kitu hapo jiachie mapema! Sepaa nenda kwingine mpaka upate aliye sahihi!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jamaa usipotoshe, mapenz gani yakupeana simu bana ? kila mtu akae na simu yake ful stop.....
Sent from my iPhone using JamiiForums



Na ndio 80% ya mahusiano ya kibongo yalivyo ndio maana Ndoa hazidumu siku hizi! Enzi za wazee wetu hakukuwa na Simu ilikuwa ni mwendo wa barua tu sasa mpaka utume barua imfikie mke wa mtu , dili lishabumburuka ila sasa hv simu imerahisisha usaliti ni simple tu😁😁😁Najaribu kutaka kuelewa lakini sioni mwanzo pakuanzia....nimekuzwa bila kutarajia
ooh ok kwahiyo umeamuaje sasa!! unamwacha au bado unafikiria..wengine tunakuhitajiKwakweli mpaka hapa ni mchepuko teyari maana si kwa mafungu haya tuliyopangwa
mmh mbona unaonekana mpole mpole usiyependa makuu!! Je una uwezo kweli wa kumwambia tuachane? au utavumilia?Ni ngumu kumsamehe kirahisi hivyo
Ushauri mzuri sana!! Unakuta mabinti wengi hawana guts za kuvunja uhusiano!! mleta maada ulete mrejesho nini maamuzi yako?Kosa afanye yy, Lawama unajitupia ww?? Hebu mshukuru Mungu kwa kukudhihirishia huyo mtu hakufai na sio muaminifu, Songa mbele dont settle for less.. Usisikilize kauli za watu eti vumilia wanaume wote wanacheat... akija kukuletea maradhi lawama utampa nani? Ww ni wa thamani usikubali kufanywa Second Option.
Naunga mkono hoja....@feysher rudia kusoma hapa, hakika patakusaidia.Ngoja nikupe Darasa huru wewe na wengine wote mnaopitia kwenye hali hii feysher : Kwanza kabisa sio kila mwanaume Dunia hii anacheat kama mnavyoaminishwa na waliochitiwa wenzenu! Wanaume wasiocheat bado wapo tena hata Tanzania hii ya Magufuli pia tupo ( nieleweke tu sitengenezi mazingira ya kukutongoza) Kwa hyo kama umethibitisha mtu anakucheat Sepaa haraka hakufai huyo haina haja ya kulialia hovyo sijui kuvumiliana Mvumilie mwanaume labda hana hela, Hajasoma, Mfupi, anaongea sana, Ana kitambi
, Hana kazi maalumu ya kufanya, hvyo vitu vinawezekana kabisa kuliko akina sisi tunaocheat sisi Usituvumilie kabiisa ukipata nafasi ya kugundua we kimbia shukuru Mungu maana huwa hatubadiliki hata siku 1 ukisema uvumilie utavumilia mpaka unakufa utabaki tu kuona wenzio instagram wanafurahia maisha ya ndoa zao,! Wewe hata kama ukiachika mara 100 kama Una jua nini unahitaji hakuna atakayekutaaa, kama unajitambua nini unataka hakuna atakayekubabaisha, Omba Mungu upate mume Bora! Mungu sio mchoyo, sio kipofu wala si kiziwi hakika maombi yako yatajibiwa tu! Siku nyingine ukiona tu Mwanaume anakuwa mgumu kukupa simu yake haina hata haja ya kumvizia anakunya ndo ukague simu yake, kote huko usifike wewe jiongeze tu hakuna kitu hapo jiachie mapema! Sepaa nenda kwingine mpaka upate aliye sahihi!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jamaa usipotoshe, mapenz gani yakupeana simu bana ? kila mtu akae na simu yake ful stop.....
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole sana ila ndiyo yalivyo nahisi maumivu yako ila ndiyo hakuna namna Piga moyo konde yanamwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona una principle za kuanzisha vita ya tatu ya dunia wewe. Nina uhakika kila mtu akipewa acess ya simu ya mwenza wake kuanzia sasa hivi,ikifika jioni ndoa zote na mahusiano yatakuwa yamevunjika 75%.Ukiona hvyo wewe sio mwaminifu! Kama unajiamini Unampa tu kwani kuna shida gani? Na siku zote mapenzi ni mawasiliano na mawasiliano ni simu! Simu ndo kila kitu ukifanikiwa tu kuicontrol simu ya mpenzi wako basi umemaliza kila kitu! Usaliti unaanzia kwenye simu! Kama unataka kupima uaminifu wa mpenzi wako anza na simu, Mawasiliano ndio kila kitu kama mnaaminiana wewe na mpenzi wako hakuna sababu ya kuogopa kumpa simu yako ashike, kama mmoja wenu anaogopa simu yake kushikwa basi hakuna uaminifu hapo Mnapoteza time yenuNa ndio 80% ya mahusiano ya kibongo yalivyo ndio maana Ndoa hazidumu siku hizi! Enzi za wazee wetu hakukuwa na Simu ilikuwa ni mwendo wa barua tu sasa mpaka utume barua imfikie mke wa mtu , dili lishabumburuka ila sasa hv simu imerahisisha usaliti ni simple tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naunga mkono hoja....@feysher rudia kusoma hapa, hakika patakusaidia.
Maisha ni kuchagua.....kazi kwako bibie.
Sent using Jamii Forums mobile app
We acha kabisa wanaume tunatamaa hatar.mi mchepuko niliusevu vodacom,wife kashtuka uyu kila siku anachati na voda au kashinda mapene.siku kanitegea niko bathroom nliporudi balaa matusi na maneno kama yote dick haikusimama wiki.Naona una principle za kuanzisha vita ya tatu ya dunia wewe. Nina uhakika kila mtu akipewa acess ya simu ya mwenza wake kuanzia sasa hivi,ikifika jioni ndoa zote na mahusiano yatakuwa yamevunjika 75%.
Uhh sana tu nipo kama kifaranga kilichomwagiwa maji aisee