bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,705
Ukome..!Nilikua nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi.....sirudii tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukome..!Nilikua nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi.....sirudii tena
Umefanya uamuzi wa busara mno... Si vema kuyatafuta matatizo unayaacha yanakuja yenyeweNilikua nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi.....sirudii tena

Hurudii tena kwa kuwa unaondoka au utaendelea naye lakini hushiki simu yake?Mchumba bestie...yaani
Shukuru umejua sasa, unasema hutorudia ina maana utaendelea nae?Mchumba bestie...yaani