Ngoja nikupe Darasa huru wewe na wengine wote mnaopitia kwenye hali hii
feysher : Kwanza kabisa sio kila mwanaume Dunia hii anacheat kama mnavyoaminishwa na waliochitiwa wenzenu! Wanaume wasiocheat bado wapo tena hata Tanzania hii ya Magufuli pia tupo ( nieleweke tu sitengenezi mazingira ya kukutongoza[emoji23][emoji23][emoji23] ) Kwa hyo kama umethibitisha mtu anakucheat Sepaa haraka hakufai huyo haina haja ya kulialia hovyo sijui kuvumiliana Mvumilie mwanaume labda hana hela, Hajasoma, Mfupi, anaongea sana, Ana kitambi 🤣🤣, Hana kazi maalumu ya kufanya, hvyo vitu vinawezekana kabisa kuliko akina sisi tunaocheat sisi Usituvumilie kabiisa ukipata nafasi ya kugundua we kimbia shukuru Mungu maana huwa hatubadiliki hata siku 1 ukisema uvumilie utavumilia mpaka unakufa utabaki tu kuona wenzio instagram wanafurahia maisha ya ndoa zao,! Wewe hata kama ukiachika mara 100 kama Una jua nini unahitaji hakuna atakayekutaaa, kama unajitambua nini unataka hakuna atakayekubabaisha, Omba Mungu upate mume Bora! Mungu sio mchoyo, sio kipofu wala si kiziwi hakika maombi yako yatajibiwa tu! Siku nyingine ukiona tu Mwanaume anakuwa mgumu kukupa simu yake haina hata haja ya kumvizia anakunya ndo ukague simu yake, kote huko usifike wewe jiongeze tu hakuna kitu hapo jiachie mapema! Sepaa nenda kwingine mpaka upate aliye sahihi!
Sent from my iPhone using JamiiForums