Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,990
Embu niambie umeishia kukata vitunguu nin?Too bad imekua tofauti na hivyo
Embu niambie umeishia kukata vitunguu nin?Too bad imekua tofauti na hivyo
Kama amegundua vitu ambacho ni hatari kwa afya yake bora aachane naye.Sasa hapo alitakiwa afanye kipi: Aachane na jamaa, au aache kushika simu!
Kuna meseji eti mlevi wa pombe baada ya kusoma gazeti akaona madhara mengi ya pombe, alikasirika akasema hasomi gazeti tena!
Wivu naona Mimi.Sawa madam, all the best.
Ningekuwa available ningekupokea ila ndo nishawahiwa.
#Miminiwatofauti
Kama amegundua vitu ambacho ni hatari kwa afya yake bora aachane naye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumefanyaje jameni?Dah maneno ni mazito siwezi hata yarufia kuyaandika hapa nimebaki nabimbuwazi tu.......nyie wanaume nyie
Mshauri wifi asishike simu yako mwambie maumivu yake hayaelezeki
Ione kama Sura ya Magufuli kabisa!Nilikua nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi.....sirudii tena
Nilikua nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi.....sirudii tena
Hahaha na kweli usirudieeNilikua nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi.....sirudii tena
We tulia tu dawa ipenye taratibu! Mwanakuyatafuta????!............................!!!Uhh wapi me uvumilivu wa hivi sina maana tumepangwa kama foleni ya madumu
Kosa afanye yy, Lawama unajitupia ww?? Hebu mshukuru Mungu kwa kukudhihirishia huyo mtu hakufai na sio muaminifu, Songa mbele dont settle for less.. Usisikilize kauli za watu eti vumilia wanaume wote wanacheat... akija kukuletea maradhi lawama utampa nani? Ww ni wa thamani usikubali kufanywa Second Option.
[/QUOTE
Mh Acha kuvunja ndoa ya Feisher
Afana aleyk..!!




Hongera kwa kupandishwa cheoNilikua nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi.....sirudii tena
Haha aiseeeMlevi akisoma madhara ya pombe kwenye gazeti anachofanya ni kutosoma gazeti tena!
Pombe anaendelea nayo.
Mbona unagunaMmmh
Kama sio mume unamshaurije?Mbona unaguna
Unakuta pombe ipo kwenye chupa na harufu kabisa unaishikia unaanza kuuliza baby eti hii ni pombe?Ila kuuliza ni muhimu, usifanye kuhukumu bila kumuuliza muhusika.