Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Apige chini tu kwani kuna option nyingine?Kama sio mume unamshaurije?
Apige chini tu kwani kuna option nyingine?Kama sio mume unamshaurije?
Apige chini simu ivunjike si ndio?Apige chini tu kwani kuna option nyingine?
NdioApige chini simu ivunjike si ndio?
Ndio
Ungekua uarabuni wee ni wa kutupwa jela au faini ndefu utashikaje na kupekua pekua simu ya mmeo?/mwenza wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama amegundua vitu ambacho ni hatari kwa afya yake bora aachane naye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue siyo kushika simu yangu, issue ni Mimi kuwa msafi kiasi hata akishika simu yangu kusiwe na tatizo.
Sinaga shida na issue za simu kwa sababu siwezi kurun business mbili kwa wakati mmoja.
Kosa afanye yy, Lawama unajitupia ww?? Hebu mshukuru Mungu kwa kukudhihirishia huyo mtu hakufai na sio muaminifu, Songa mbele dont settle for less.. Usisikilize kauli za watu eti vumilia wanaume wote wanacheat... akija kukuletea maradhi lawama utampa nani? Ww ni wa thamani usikubali kufanywa Second Option.
Hongera kwa kupandishwa cheoView attachment 1062075
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""