Sirudii kushika simu ya mwanaume

Sirudii kushika simu ya mwanaume

wewe dada umeichekesha eti Amen, ahahaha zamani sana nliwah kushika simu ya girlfriend wangu na nlikuwaga sina mazoea ya kuishika sasa msg ikaingia jamaa anamsifia mauno ya juz alomkatikia hapo juz tu... nikaifunga simu ya watu nakairudisha na nikaachana nae ila hadi leo sikuwah kumwambia kwanini tuliachana na hajuagi hadi leo....nilikausha mazima....

Sent from my iPhone using JamiiForums
Duuh noma sanaa...!! Kimya kimyaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe dada umeichekesha eti Amen, ahahaha zamani sana nliwah kushika simu ya girlfriend wangu na nlikuwaga sina mazoea ya kuishika sasa msg ikaingia jamaa anamsifia mauno ya juz alomkatikia hapo juz tu... nikaifunga simu ya watu nakairudisha na nikaachana nae ila hadi leo sikuwah kumwambia kwanini tuliachana na hajuagi hadi leo....nilikausha mazima....

Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaan mpaka leo huwa simmalizi kha..,simu yake sitaki kuishika tena yaan sitaki tena
 
Back
Top Bottom