Siiwez
Mambo hayo ambayo hatuwaambii wanawake ndo unayaficha kwenye simu? Kama ndio kuna ulazima wa kuyaficha kwenye simu? Siri ya Simu ni michepuko tu hakuna lolote linalofichwa humo!
Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu we are who we are believe what you believe.. ila kuna siku utaleta mrejesho, wanawake sio kama wanaume tupo tofauti sana and you guys hamtaki kuaccept the difference ndio mana you will always be struggling to get things equal wakati haiwezekan...case closed
Sent from my iPhone using JamiiForums
utasahau weweee!
umepita hapo ili kujifunza SIO LAZIMA KILA MAHUSIANO YAISHIE NA NDOA!
MENGINE YANAKUJA ILI KUJIFUNZIA STYLE TU!
msiwe mnacomplicate sana maisha!
AMEKUJA ULIMPENDA YO HAD FUN YAMEISHA SONGA MBELE!
kukaaa kutosahau mapenzi yalokuumiza ni kukubali kuumia in the past and in the future!
UNALIA KIDOGO UNAKUBALI MATOKEO!ENDELEA KUISHI!
Narudia tena ukiwasikiliza sana wanawake utagombana nao sana, kama unamwamini mtu kwanini umpekue? kitu kingine nakupa angalizo hata uwe na uhusiano mzuri vipi there is certain level of privacy binadamu yeyote lazima awe nayo na ni haki yake sio lazima ujue kila kitu cha mwenz wako, na ndio mana binadamu yeyote yule kuna siri moja anaijua yeye mwenyewe na hawez kumwambia mtu yeyote na atakufa nayo, fanya risech wewe mwenyewe utagundua kuna kitu ulishawah kukifanya na hakuna mtu yeyote anaejua na haupo tayari kumwambia binadamu yeyote.....mwache kudanganya watu start living the reality. Unafikiri kwanini wazungu wanaachana sana kuliko hata sisi na simu zilianzia kwao ? simu sio kila kitu aisee na kusema ukweli globalization ndio inaua relationships nyingi sana......
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ulikuwa unatafuta nini kwa simu ya mumeo, na umekuta nini tofauti na hulichokuwa unatafuta?
Mimi naamini kabisa ulichokuwa unakuchunguza ndicho ulichokikuta, sasa kwa nini unaweweseka? Ukome kabisa.
Akishajua?
Nlishakuonya kuhusu cm yangu hukusikia,ilq hizo msg niliweka tu mtego ili ukome kuishika cm yangu,nisamehe tu mke wangu mtarajali ckua na lengo baya na wala hizo msg c mchepuko alitumaNilikua nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi.....sirudii tena
Amini nakwambia sikua natafuta nilichokikuta
Na kushika simu yaKushika simu ya mwanaume ni makosa makubwa sana.Hili somo sijui kwanini wanawake hawalielewi.Kama wewe unajijua umekidhi vigezo unachotakiwa nikumfanya mtu wako awe vile unataka ikiwa ni pamoja na kukuheshimu ili ata kama atakua na mapungufu kidogo yawe ni yale yanayoenda sambamba na kuvumilika, kukupenda,kukulinda na kukuheshimu.Hao wanaokwambia uachane nae,je utaachana na wangapi.Ni rahisi kukiremba kinyago ulichokwisha kukichonga kuliko kuanza kuchonga kipya kitakachofanana na kile cha kwanza na kiwe tofauti kwasababu naamini hadi ulifikia kua naye alivuka nusu ya vigezo ulivyokua unavihitaji.sasa kazi kwako kuamua kuremba icho unachokijua au kuamua kutafuta usichokijua.Sasa kama ulikua kwenye uangalizi na majaribio ya uyo jamaa ndo muda wako kuchukua credit na kama tayari ulishakua mke ndo muda wakuonyesha thamani yakua mwanamke bora.