Sirudii kushika simu ya mwanaume

Sirudii kushika simu ya mwanaume

Ngoja nikupe Darasa huru wewe na wengine wote mnaopitia kwenye hali hii feysher : Kwanza kabisa sio kila mwanaume Dunia hii anacheat kama mnavyoaminishwa na waliochitiwa wenzenu! Wanaume wasiocheat bado wapo tena hata Tanzania hii ya Magufuli pia tupo ( nieleweke tu sitengenezi mazingira ya kukutongoza ) Kwa hyo kama umethibitisha mtu anakucheat Sepaa haraka hakufai huyo haina haja ya kulialia hovyo sijui kuvumiliana Mvumilie mwanaume labda hana hela, Hajasoma, Mfupi, anaongea sana, Ana kitambi , Hana kazi maalumu ya kufanya, hvyo vitu vinawezekana kabisa kuliko akina sisi tunaocheat sisi Usituvumilie kabiisa ukipata nafasi ya kugundua we kimbia shukuru Mungu maana huwa hatubadiliki hata siku 1 ukisema uvumilie utavumilia mpaka unakufa utabaki tu kuona wenzio instagram wanafurahia maisha ya ndoa zao,! Wewe hata kama ukiachika mara 100 kama Una jua nini unahitaji hakuna atakayekutaaa, kama unajitambua nini unataka hakuna atakayekubabaisha, Omba Mungu upate mume Bora! Mungu sio mchoyo, sio kipofu wala si kiziwi hakika maombi yako yatajibiwa tu! Siku nyingine ukiona tu Mwanaume anakuwa mgumu kukupa simu yake haina hata haja ya kumvizia anakunya ndo ukague simu yake, kote huko usifike wewe jiongeze tu hakuna kitu hapo jiachie mapema! Sepaa nenda kwingine mpaka upate aliye sahihi!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Dah..kwa ushauri huu...labda ningeongezea...kila anapoenda..asifungue mabegi yako...safari zitakuwa hazijaishaa

Sent using Beretta ARX 160
 
Ukiona hvyo wewe sio mwaminifu! Kama unajiamini Unampa tu kwani kuna shida gani? Na siku zote mapenzi ni mawasiliano na mawasiliano ni simu! Simu ndo kila kitu ukifanikiwa tu kuicontrol simu ya mpenzi wako basi umemaliza kila kitu! Usaliti unaanzia kwenye simu! Kama unataka kupima uaminifu wa mpenzi wako anza na simu, Mawasiliano ndio kila kitu kama mnaaminiana wewe na mpenzi wako hakuna sababu ya kuogopa kumpa simu yako ashike, kama mmoja wenu anaogopa simu yake kushikwa basi hakuna uaminifu hapo Mnapoteza time yenu Na ndio 80% ya mahusiano ya kibongo yalivyo ndio maana Ndoa hazidumu siku hizi! Enzi za wazee wetu hakukuwa na Simu ilikuwa ni mwendo wa barua tu sasa mpaka utume barua imfikie mke wa mtu , dili lishabumburuka ila sasa hv simu imerahisisha usaliti ni simple tu

Sent from my iPhone using JamiiForums

Narudia tena ukiwasikiliza sana wanawake utagombana nao sana, kama unamwamini mtu kwanini umpekue? kitu kingine nakupa angalizo hata uwe na uhusiano mzuri vipi there is certain level of privacy binadamu yeyote lazima awe nayo na ni haki yake sio lazima ujue kila kitu cha mwenz wako, na ndio mana binadamu yeyote yule kuna siri moja anaijua yeye mwenyewe na hawez kumwambia mtu yeyote na atakufa nayo, fanya risech wewe mwenyewe utagundua kuna kitu ulishawah kukifanya na hakuna mtu yeyote anaejua na haupo tayari kumwambia binadamu yeyote.....mwache kudanganya watu start living the reality. Unafikiri kwanini wazungu wanaachana sana kuliko hata sisi na simu zilianzia kwao ? simu sio kila kitu aisee na kusema ukweli globalization ndio inaua relationships nyingi sana......

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante nimepazingatia
Dah.. asikudanganye mtu...hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja...hii ndiyo asili yao...Wanaonekana waaminifu ni wale wenye afya dhaifu...wenye uchumi mbovu...au wako smart kwenye mambo yao (hawajakamatwa)....
Kama mwanaume anakupa mahitaji yako yote na akakushibisha kimwili..omba Mungu ampe akili na akulinde wewe na maradhi...Mwanaume kuchepuka siyo maana yake hakupendi....Ila asipolipa bili zako na gem hakupi...hapo sepa fasta...hakupendi .. ukweli mchungu

Sent using Beretta ARX 160
 
Ukiona hvyo wewe sio mwaminifu! Kama unajiamini Unampa tu kwani kuna shida gani? Na siku zote mapenzi ni mawasiliano na mawasiliano ni simu! Simu ndo kila kitu ukifanikiwa tu kuicontrol simu ya mpenzi wako basi umemaliza kila kitu! Usaliti unaanzia kwenye simu! Kama unataka kupima uaminifu wa mpenzi wako anza na simu, Mawasiliano ndio kila kitu kama mnaaminiana wewe na mpenzi wako hakuna sababu ya kuogopa kumpa simu yako ashike, kama mmoja wenu anaogopa simu yake kushikwa basi hakuna uaminifu hapo Mnapoteza time yenu Na ndio 80% ya mahusiano ya kibongo yalivyo ndio maana Ndoa hazidumu siku hizi! Enzi za wazee wetu hakukuwa na Simu ilikuwa ni mwendo wa barua tu sasa mpaka utume barua imfikie mke wa mtu , dili lishabumburuka ila sasa hv simu imerahisisha usaliti ni simple tu

Sent from my iPhone using JamiiForums

Alafu for your information rate ya watu kuachana bongo na Ulaya ulaya ndio kubwa zaidi, Ulaya unakuta mtu kama eddie murphy ashaoa na kuacha kama mara tano ivi, yan sio kuwa tu na mwanamke kuingia kabisa kwenye ndoa, sasa nipe nfano hata mmoja wa stail kama hyo bongo ??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna upotoshaji hapo.....jamaa yupo sahihi kabisa. Mapenzi hayana privacy...

Note:
Usichanganye contents za MAHUSIANO YA KIMAPENZI na MAHUSIANO YA KINDUGU/MARAFIKI. Kuna utofauti mkubwa sana....

Sent using Jamii Forums mobile app

Prisoner of hope kila binadamu anayo level of privacy ambayo hataki ifikiwe na mtu yeyote yule hata mama yake mzazi, you guys gat to learn something...no matter how deep we are there some stufs siwez kukwambia PERIOD....Ukimwambia mwanamke kila kitu, Eventually you become the victim....Nyie endeleen kuachiana simu alafu siku mtaleta mrejesho...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante ila kusahau itakua ngumu dah
utasahau weweee!
umepita hapo ili kujifunza SIO LAZIMA KILA MAHUSIANO YAISHIE NA NDOA!
MENGINE YANAKUJA ILI KUJIFUNZIA STYLE TU!
msiwe mnacomplicate sana maisha!
AMEKUJA ULIMPENDA YO HAD FUN YAMEISHA SONGA MBELE!

kukaaa kutosahau mapenzi yalokuumiza ni kukubali kuumia in the past and in the future!
UNALIA KIDOGO UNAKUBALI MATOKEO!ENDELEA KUISHI!
 
Hahaha

Mama hata kwa herufi ndogo ndogo ataelewa huyu..

Sio kwa huu msisitizo.
UMEFANYA SAHIHI
MI NIKISHAACHA KUSHIKA SIMU YAKO, NA NIKAKUZUIA KUSHIKA YANGU!
kimsingi nimeshakuacha na we mwenyewe!
utasahau weweee!
umepita hapo ili kujifunza SIO LAZIMA KILA MAHUSIANO YAISHIE NA NDOA!
MENGINE YANAKUJA ILI KUJIFUNZIA STYLE TU!
msiwe mnacomplicate sana maisha!
AMEKUJA ULIMPENDA YO HAD FUN YAMEISHA SONGA MBELE!

kukaaa kutosahau mapenzi yalokuumiza ni kukubali kuumia in the past and in the future!
UNALIA KIDOGO UNAKUBALI MATOKEO!ENDELEA KUISHI!

Sent by anonymous user
 
Nilikua nabisha lakini kwa niliyoyaona kwenye simu ya mwenza wangu moyo umekufa ganzi.....sirudii tena

Ulikuwa unatafuta nini kwa simu ya mumeo, na umekuta nini tofauti na hulichokuwa unatafuta?
Mimi naamini kabisa ulichokuwa unakuchunguza ndicho ulichokikuta, sasa kwa nini unaweweseka? Ukome kabisa.
 
Naona una principle za kuanzisha vita ya tatu ya dunia wewe. Nina uhakika kila mtu akipewa acess ya simu ya mwenza wake kuanzia sasa hivi,ikifika jioni ndoa zote na mahusiano yatakuwa yamevunjika 75%.

Ndo ujue sasa ndoa zote hizo unazosema zitavunjika ni za hovyohovyo ndio hao wanaojaza server za jamiiforums kuandika thread za kupotosha watu eti kila Mwanaume anacheat, eti hakuna mwanamke wa peke yako, eti ndoa ni kuvumiliana (Ujinga hautakiwi kuvumilika hata siku moja) ndoa ni upendo! Kucheat siyo bahati mbaya hata siku moja ni kujiendekeza

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
utasahau weweee!
umepita hapo ili kujifunza SIO LAZIMA KILA MAHUSIANO YAISHIE NA NDOA!
MENGINE YANAKUJA ILI KUJIFUNZIA STYLE TU!
msiwe mnacomplicate sana maisha!
AMEKUJA ULIMPENDA YO HAD FUN YAMEISHA SONGA MBELE!
kukaaa kutosahau mapenzi yalokuumiza ni kukubali kuumia in the past and in the future!
UNALIA KIDOGO UNAKUBALI MATOKEO!ENDELEA KUISHI!
Haha mi nimesoma hapo kwenye style tu
 
Prisoner of hope kila binadamu anayo level of privacy ambayo hataki ifikiwe na mtu yeyote yule hata mama yake mzazi, you guys gat to learn something...no matter how deep we are there some stufs siwez kukwambia PERIOD....Ukimwambia mwanamke kila kitu, Eventually you become the victim....Nyie endeleen kuachiana simu alafu siku mtaleta mrejesho...

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kwahyo wewe siri zako zoote umeweka kwenye simu? Yaani kila kitu chako kipo kwenye simu? Maisha yako yote umeyahifadhi kwenye simu kiasi kwamba inahitaji privacy ya level unayoisemea? Kama siri ambazo sitaki kumwambia nahifadhi kwingine! Simu ni , ndio chanzo cha mahusiano na Privacy unayoificha wewe kwenye simu ni Mahusiano tofauti na uliyo nayo hakuna nyingine! Nipe mfano wa siri moja tu tofauti na mahusiano ambayo ni lazima ifichwe kwenye simu??? ambayo inahitaji privacy ya level unayoizungumzia

bwana bwana kuna mambo mengine wanaume hatuwaambiag wanawake na the more anakaa na simu yako the more anakaribia kujua wewe kama hutaki basi ila me simu yangu inafingerprint kabisa sitak utan nampenda mwanamke wangu sitaki tugombane sababu eti iwe simu, thats not possible

Mambo hayo ambayo hatuwaambii wanawake ndo unayaficha kwenye simu? Kama ndio kuna ulazima wa kuyaficha kwenye simu? Siri ya Simu ni michepuko tu hakuna lolote linalofichwa humo!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom