Siri ya wanawake na bodaboda

Siri ya wanawake na bodaboda

Dereva wa boda boda aliwahi kunipa siri za 'mama mkwe' wacha nibaki mdomo wazi... Anadai alikuwaga dereva wake huko nyuma na alikuwa anampeleka kwenye matukio yake ya kusambaza upendo sema alikuwa anamkopa usafiri wa bodaboda na hamlipi ndio maana cku hizi ametosa kumbeba. Nikasema sasa kama 'mama mkwe' ndio yuko hivi, je binti yake atakuwaje sasa...

same same....
 
wanatuchapia sana hawa! ukiwaona utafikiri mafala.hawaongei!
Kwenye simu zao wamejaza namba za wanawake kuliko hata wanaume, na ukiwaangalia wengi wa mabodaboda hawajaoa kazi kuvizia wateja wao tu.
 
Kwenye simu zao wamejaza namba za wanawake kuliko hata wanaume, na ukiwaangalia wengi wa mabodaboda hawajaoa kazi kuvizia wateja wao tu.
wanapiga sana vipapa na mikofia yao mibaya!
 
Hawa bodaboda wana siri kubwa sana za familia za watu
Hata wao huwa wanapoozwa wasizitoe,
Wanawake wa Dar kwakweli wamenishinda tabia kabisa...!
Yaani bodaboda ana siri za mama na binti yake baba ukipita wanakuchora tu!
Kwamfano huyu azizi kwakweli kifua chake ni kina mengi sana...!
hehehehe mbona balaa sasa
 
Mkuu jiweke jirani na boda boda ujue machimbo ya mkeo au ingia kwenye hiyo kazi ujionee wanawake wasivo na maana hapa mjini..!
aone wanakokwenda kusaula viwalo!
 
Back
Top Bottom