Siri ya wanawake na bodaboda

Siri ya wanawake na bodaboda

Wanawake wanapenda sana bodaboda
wengi wana namba za bodaboda
sijui kuna nini exactly...
mkuu kuna biashara ya ubuyu! ndo maana hata bodaboda wenyewe maendeleo yao ni duni.kila siku unashikwa kiunoni na mwanamke,umekuwa padri usiwagegede! namba wanapeana.
 
Wasiojipenda ndio hupanda boda boda wanajipenda wengi ni private.....
Akikosea kidogo tu mguu huna
 
Niliwahi kumpakia mdada mmoja hivi mida ya asubuhi...nilimpeleka gesti ya kwanza nikaambiwa na jamaa nimsubiri nje na niagize ninachokitaka....nilisubiri hapo kama masaa manne...hadi alipotoka na safari ikaanza wakati tunaondoka akaniambia twende kimara...huko akanielekeza sehemu hiyo ambayo sijawahi kuiona...hapo napo akapokelewa na jibaba moja hivi na kama kawaida nikaambiwa nisubiri hapo nje na muhudumu akaambiwa anihudumie lolote lile.....hapo napo nilika kwa takribani masaa manne.....yule dada alipotoka tukaanza safari kuelekea nyumbani ,wakati tupo njiani mara ghafla ikapigwa simu...na baada ya simu akaniambia tupitie ubungo...ambapo tulikutana na jamaa mmoja hivi mwenye likitambi likubwa...hapo hatuja kaa sana kwani nahisi mteja wangu alikuwa ameshachoka na ilikuwa mida ya mumewe kurudi nyumbani....
Dah yaani wanawake hawa....

Haaaaaaa umenichekesha

Btw unajiweza masaa yote hayo unasubiria mwenzako amalize kugegedwa lols
 
alafu niwa siri hao
inaezekana ndo kizazi kinachongoza kugegeda wake zetu na wenetu
kweli mkuu namba zao wanazo pia wako free mda wote.hata maendeleo hawana ni kugegeda vimwana
 
ila honestly sometimes mpaka nawaonea wivu wenye bodaboda na bajaj! Wanapakia vifaa vya ukweli....
yap.wanabeba watoto wakali na wana namba zao na wanajua pa kuwafuata!
 
Hahahha hapa namsubiri Sele bodaboda aniwahishe mahali, nimechekaje sasa
 
napenda sana bodaboda aliyepakiza demu akikaa mbele yangu, haswa zile boxer maana wadada wakikaa kwenye boxer wanajibinua hatari, teh!
wanafaidi sana hawa madogo hizi mbunye.
 
Mungu tusaidie, hili ni la kweli kabisa. Siyo kuwahi wanakokwenda tu, wengi wao hawalipi nauli na baadae wanagawa mzigo. Jamaa waweza kuwa kazini ile unarudi home kwa kuchelewa na usafiri huu wa Dar unakuta washalamba na kupiga deki. Juzi nimeshuhidia dada mhudumu wa car park hapa mjini amemganda bodaboda akamgegede. Wakati nafika na mi nahitaji usafiri huyo tukaondoka. Tukiwa njiani nikamuuliza vip inakuaje. Akanipa mkanda wote kuwa huwa anamgegeda sema ule muda ni wa kazi.
na wanavyopenda vya bwelele lazima wagongwe na bodaboda
 
Niliwahi kumpakia mdada mmoja hivi mida ya asubuhi...nilimpeleka gesti ya kwanza nikaambiwa na jamaa nimsubiri nje na niagize ninachokitaka....nilisubiri hapo kama masaa manne...hadi alipotoka na safari ikaanza wakati tunaondoka akaniambia twende kimara...huko akanielekeza sehemu hiyo ambayo sijawahi kuiona...hapo napo akapokelewa na jibaba moja hivi na kama kawaida nikaambiwa nisubiri hapo nje na muhudumu akaambiwa anihudumie lolote lile.....hapo napo nilika kwa takribani masaa manne.....yule dada alipotoka tukaanza safari kuelekea nyumbani ,wakati tupo njiani mara ghafla ikapigwa simu...na baada ya simu akaniambia tupitie ubungo...ambapo tulikutana na jamaa mmoja hivi mwenye likitambi likubwa...hapo hatuja kaa sana kwani nahisi mteja wangu alikuwa ameshachoka na ilikuwa mida ya mumewe kurudi nyumbani....
Dah yaani wanawake hawa....
hayo ndio maisha yao hawa wanawake! kuna foleni hatari
 
Na ukiona mwanamke anawaishwa ujue anayemuaisha ni mwanaume km yy kwa tabia hzo hvyo ngoma droo tu
 
Dereva wa boda boda aliwahi kunipa siri za 'mama mkwe' wacha nibaki mdomo wazi... Anadai alikuwaga dereva wake huko nyuma na alikuwa anampeleka kwenye matukio yake ya kusambaza upendo sema alikuwa anamkopa usafiri wa bodaboda na hamlipi ndio maana cku hizi ametosa kumbeba. Nikasema sasa kama 'mama mkwe' ndio yuko hivi, je binti yake atakuwaje sasa...
 
Back
Top Bottom