Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Mimi honestly bodaboda ananisaidia safari zangu za fasta fasta. Afu naweza nikamuagiza mizigo na ikafika salama, na naweza nikamtuma aninunulie vitu kwa gharama zake na atavileta hadi home, namkabidhi cash yake basi. Kwa hiyo wanasaidia sanaasilimia 80 ya wanawake wana namba za watu wa bodaboda kwa matumizi tofauti.


