Ndege je?!Ni usafiri wa haraka
mmmmhNiliwahi kumpakia mdada mmoja hivi mida ya asubuhi...nilimpeleka gesti ya kwanza nikaambiwa na jamaa nimsubiri nje na niagize ninachokitaka....nilisubiri hapo kama masaa manne...hadi alipotoka na safari ikaanza wakati tunaondoka akaniambia twende kimara...huko akanielekeza sehemu hiyo ambayo sijawahi kuiona...hapo napo akapokelewa na jibaba moja hivi na kama kawaida nikaambiwa nisubiri hapo nje na muhudumu akaambiwa anihudumie lolote lile.....hapo napo nilika kwa takribani masaa manne.....yule dada alipotoka tukaanza safari kuelekea nyumbani ,wakati tupo njiani mara ghafla ikapigwa simu...na baada ya simu akaniambia tupitie ubungo...ambapo tulikutana na jamaa mmoja hivi mwenye likitambi likubwa...hapo hatuja kaa sana kwani nahisi mteja wangu alikuwa ameshachoka na ilikuwa mida ya mumewe kurudi nyumbani....
Dah yaani wanawake hawa....
Niliwahi kumpakia mdada mmoja hivi mida ya asubuhi...nilimpeleka gesti ya kwanza nikaambiwa na jamaa nimsubiri nje na niagize ninachokitaka....nilisubiri hapo kama masaa manne...hadi alipotoka na safari ikaanza wakati tunaondoka akaniambia twende kimara...huko akanielekeza sehemu hiyo ambayo sijawahi kuiona...hapo napo akapokelewa na jibaba moja hivi na kama kawaida nikaambiwa nisubiri hapo nje na muhudumu akaambiwa anihudumie lolote lile.....hapo napo nilika kwa takribani masaa manne.....yule dada alipotoka tukaanza safari kuelekea nyumbani ,wakati tupo njiani mara ghafla ikapigwa simu...na baada ya simu akaniambia tupitie ubungo...ambapo tulikutana na jamaa mmoja hivi mwenye likitambi likubwa...hapo hatuja kaa sana kwani nahisi mteja wangu alikuwa ameshachoka na ilikuwa mida ya mumewe kurudi nyumbani....
Dah yaani wanawake hawa....
ndo ushangae sasa tunavyopenda kunyosheana vidoleSorry bro,hivi huko kwenye nyumba za wageni wenyeji wao wanakuwaga wanawake wenzao?
Si alipokelewa na mibaba jamaniNiliwahi kumpakia mdada mmoja hivi mida ya asubuhi...nilimpeleka gesti ya kwanza nikaambiwa na jamaa nimsubiri nje na niagize ninachokitaka....nilisubiri hapo kama masaa manne...hadi alipotoka na safari ikaanza wakati tunaondoka akaniambia twende kimara...huko akanielekeza sehemu hiyo ambayo sijawahi kuiona...hapo napo akapokelewa na jibaba moja hivi na kama kawaida nikaambiwa nisubiri hapo nje na muhudumu akaambiwa anihudumie lolote lile.....hapo napo nilika kwa takribani masaa manne.....yule dada alipotoka tukaanza safari kuelekea nyumbani ,wakati tupo njiani mara ghafla ikapigwa simu...na baada ya simu akaniambia tupitie ubungo...ambapo tulikutana na jamaa mmoja hivi mwenye likitambi likubwa...hapo hatuja kaa sana kwani nahisi mteja wangu alikuwa ameshachoka na ilikuwa mida ya mumewe kurudi nyumbani....
Dah yaani wanawake hawa....
Mkuu ulifanikiwa kumuona yule mrembo leo?Acha tu...
Mi ndio maana kuna wakati namwangalia mwanamke wangu naguna tu. Mungu aendelee kumpa moyo huo huo wa uaminifu...maana mwanamke akiamua kukufanya ushenzi there is just nothing u can do. Trust me.
watu ndio wanasambaza ukimwi sio bodaboda!Bodaboda zinasambaza sana ukimwi,bora zipigwe marafuku
Mkuu ulifanikiwa kumuona yule mrembo leo?
Zinasambaza kupitia kifaa au kiungo gani mkuu??Bodaboda zinasambaza sana ukimwi,bora zipigwe marafuku
church brothers and sisters.....kazi ipoSikufanikiwa man,
Kuna seminar nyingine church usharika wetu hapa ya week nzima inaanza leo...jioni 4:30 pm to 7 pm....lazima nitamuona tu. Huwa na attend sana baada ya kutoka mzigoni.
Zipigwe marufuku utatulisha ww?Bodaboda zinasambaza sana ukimwi,bora zipigwe marafuku
Binafsi wananisaidia mahitaji ya haraka haraka sokoni
Ila sisi(wanawake) ndo tunapokea wageni nyumbani so ni rahisi mgeni kufika nyumbani kwa mawasiliano ya ukaribu na bodaboda man anampokea mgeni na kumleta mpaka nyumbani

Hahaha,hapana sikufika huko,japo tunazoeana kishkaji tu anaelewa mishe zangu zote,nikimuagiza mzigo sehem anafikisha..waaminifu na wanasikiliza nawapendea hichoumewahi kuwatamani sexually bodaboda?
Exactly,ukiwaelekeza wanakua makini..mara chache ajali kwa abiria wanawakeHili mimi nishajiuliza, ila nikapata jibu wanawake hawadadandii bodaboda yoyote,huwa wana mtu wao ambao anawaendesha vile watakavyo. Ila wanaume huwa wanakurupuka na kujidai wana haraka ndio huishia kwenye ajali.