Siri ya Utulivu na Mafanikio

Siri ya Utulivu na Mafanikio

Siri ya kushinda ni kuwa detached tu

Wengi hudhani kujizana ni kumkomoa kumbe una haribu siku yako na unajishushia point kwa yule unaye Jibizana nae.
Yah kabisa mfano hicho kisa nilichokupa yule agent kiukweli alikuwa mpole hadi wenzake wakawa wanamtania endelea kutukana wanamcheka yeye kimya kabisa.

Noma sana aisee.
 
Wewe ishi kuliko toka, unajua umeleta negative vibes alaf unajifanya guru! Mpuuzi tu. Sasa kama unayajua haya kwanini ulijibu ushenzi mwanzo? Kwanini ukiweka kejeli?
You can not even apply what you are delivering, be humble be smart
Emotional intelligence is all about controlling negative vibes
 
Yah kabisa mfano hicho kisa nilichokupa yule agent kiukweli alikuwa mpole hadi wenzake wakawa wanamtania endelea kutukana wanamcheka yeye kimya kabisa.

Noma sana aisee.
Yes, wanajua kupoteza energy kwenye ujinga ni kuharibu siku yako. Hata yale unavyotaka kufanya hayasogei kwa sababu umakini unakuwa umepungua
 
You can not even apply what you are delivering, be humble be smart
Emotional intelligence is all about controlling negative vibes
I had no right to control it, especially to a decpeticon like you. You knew the impact of your actions but still did it anyway.

So a fool should be treated like a fool.
 
Skia, sijapannic wala nini huyo amkeja na gia ya kujaribu mtu, ni ujinga wa hali ya juu. So alitegemea ni mwache wapite smoothly.

Kuna tofauti kati ya mtu anaye taka kujifunza na mpuuzi analeta drama
Wewe maadam ulimgundua ,unge stick kwenye falsafa yako asikutoe kwenye shape yako
 
Back
Top Bottom