de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,054
- 21,867
Baada ya kukua na kutambua jinsi watu wanakuwa controlled na hisia.
Watu ambao hawajui kuwa less attached na kupannic. Huwa sio kwamba ni wakali au wagai gai by nature. Na pia sio watu wakali by nature, huwa ni so weak. Ila ile reaction ina wa manipulate kudhani wako sahihi.
Kadri unavyo kuwa unaanza kutambua jinsi non reactivity ni nguvu, tena kubwa sana inayowasaidia matajiri wa dunia ku execute na kufikia malengo.
Mimi huwa nawaelewa sana binadamu, na huwa nikiona mtu kaja juu, najua deeper layers ndani yake zilizo mleteleza kufikia pale.... Sio kama zamani now I'm more compassionate.
Asilimia chache za watu wenye kaliba hii ya upendo ndo wanafanya mambo yawe sawa duniani. Hata kwenye ngazi ya familia yule mtu ambae hajibizani sana, anamwacha mwongeaji apayuke then akikaa sawa tena ajifanye kama nothing happened! Aisee watu wa hivi wapewe mauwa yao. These are the most powerful people in this damn world.
Emotional intelligence is a superpower.