IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,844
Yes huyu alikuwa key na inasemekana 'aliondolewa' ili asijeleta balaa..kuna yule mshkaji alifariki Ocean road, huyo huenda alikuwa na full mkanda
Yes huyu alikuwa key na inasemekana 'aliondolewa' ili asijeleta balaa..kuna yule mshkaji alifariki Ocean road, huyo huenda alikuwa na full mkanda
Niliwahi kusikia kwamba hawa jamaa walifikia hotel moja (magomeni kama sikosei) sasa aliyewatonya hao akina Bageni ni meneja wa hotel, na kwamba huwa ni mchezo wao akifahamu mteja ana pesa ndefu. Baadae wakifanikisha dili naye anapata mgao...Hivi naweza kueleweshwa how kina Zombe came to know kuwa hao wafanyabiashara wana pesa nyingi cash?
Oh! Ni chanel ndefu ya kihalifu. I think he is the source of all this! Aunganishwe na yy ktk kesi kwa kweli kwa kuwafisha wenzieNiliwahi kusikia kwamba hawa jamaa walifikia hotel moja (magomeni kama sikosei) sasa aliyewatonya hao akina Bageni ni meneja wa hotel, na kwamba huwa ni mchezo wao akifahamu mteja ana pesa ndefu. Baadae wakifanikisha dili naye anapata mgao...
Nilitaarifiwa niifute kuwa ni serious allegations kwa judiciary.Hujamsaidia kwa lolote, hiyo comment iko wapi?
Strategy ya akina Zombe na Bageni ilikuwa waripoti kuuwawa kwa majambazi yaliyopora 5m ili wauchukue ule mzigo wote wa madini kiulaini baada ya kuwauwa wenye mali kwa pretext ya majambazi. Hata hilo lori la bidco na kuibiwa 5m was faked. Sasa kitu ambacho wali overlook ni kwamba immediately baada ya tukio kutangazwa Ndugu wa marehemu walikuja juu na taarifa za marehemu kuwekwa wazi kwamba ni wafanyabiashara maarufu wa madini huko kwao. Pia ikaja taarifa kwamba walikuwa na mzigo mkubwa wamepeleka kuuza DSM, mzigo uko wapi? Sasa tension was so high inabidi Rais aunde tume na mambo yakafumuka...Shangaa hapo!
Na mbona hawajawahi kusema hao waliokuwa wanasema majambazi (wafanyabiashara ya madini) walikuwa na kiasi gani cha fedha au madini yenye thamani ya shilingi ngapi?!
Kina Zombe walitakiwa pia kuadhibiwa kwa kupora pesa/madini ya hao wafanyabiashara kwa kifupi wao kama polisi ndio waligeuka majambazi na wauaji!
Strategy ya akina Zombe na Bageni ilikuwa waripoti kuuwawa kwa majambazi yaliyopora 5m ili wauchukue ule mzigo wote wa madini kiulaini baada ya kuwauwa wenye mali kwa pretext ya majambazi. Hata hilo lori la bidco na kuibiwa 5m was faked. Sasa kitu ambacho wali overlook ni kwamba immediately baada ya tukio kutangazwa Ndugu wa marehemu walikuja juu na taarifa za marehemu kuwekwa wazi kwamba ni wafanyabiashara maarufu wa madini huko kwao. Pia ikaja taarifa kwamba walikuwa na mzigo mkubwa wamepeleka kuuza DSM, mzigo uko wapi? Sasa tension was so high inabidi Rais aunde tume na mambo yakafumuka...
Kwa nini mnaiita hukumu ya pili na si rufaa?Niliweka comment jana juu ya deal iliyofanya Zombe akwepe kifungo,wadau wakaja fasta kuniambia nifute.
Kuna rafiki yangu mtumishi wa KITENGO aliwahi nipa SIRI juu ya kesi soon baada ya Zombe kuachiwa huru katika hukumu ya kwanza na akafungua madai ya fidia. Hukumu ya pili ilipotoka tu akanipigia kusema "UMEAMINI".
Ukikata rufaa ikakubalika means kesi inapitiwa upya na kutolewa tena uamuzi ( unaweza ukawa ulele au ukabadirika). Huo uamuzi tunaita hukumu ya rufaa......Kwa nini mnaiita hukumu ya pili na si rufaa?
Mahakama zetu zilivyooza, kamwe mtu hauwezi kuelezea neno likalingana na maovu yao.Niliweka comment jana juu ya deal iliyofanya Zombe akwepe kifungo,wadau wakaja fasta kuniambia nifute.
Kuna rafiki yangu mtumishi wa KITENGO aliwahi nipa SIRI juu ya kesi soon baada ya Zombe kuachiwa huru katika hukumu ya kwanza na akafungua madai ya fidia. Hukumu ya pili ilipotoka tu akanipigia kusema "UMEAMINI".
Ni moja ya mhimili unaoongoza kwa RUSHWA. Yah kesi ya msingi ni KUTUMIA MADARAKA HOVYO NA KUFICHA UHALIFU.Mahakama zetu zilivyooza, kamwe mtu hauwezi kuelezea neno likalingana na maovu yao.
Wengine tushapoteza kabisa imani na mahakama zetu hizi. Zimekuwa ni "vijiwe" vya kupigia madili ya kupoka haki za watu.
Ndiyo maana mafisadi "wenye'elazao" wanuwezo wa ku-control mahakama kama mali zao binafsi. Nasikia kwenye hii kesi, mchezo ulianzia kwenye utayarishaji wa mashitaka. Kwa makusudi kabisa mtayarishaji wa kesi,alipotosha shitaka la Zombe kwa makusudi eti kuwa aliua. Wakati kesi yake ya msingi ilikuwa ni ya uwajibikaji kwa kutumia ofisi vibaya na kuficha uharifu! Kwa kujua kabisa kuwa mwisho wa siku lazima atashinda!
Bado najenga maswali,hivi aliyepotosha kuandaa mashitaka ya Zombe, tuseme yeye hana tuhuma ya kutumia madaraka yake vibaya na je, hastahili kuandikwa mashitaka?
Dhuluma kama hizi, na makandokando mengine ya kishenzi, ndiyo yanasababisha wananchi kutokuwa na imani na mamlaka zilizopo na kusababisha kujichukulia sheria mkononi linapotokea jambo linaloweza kumalizwa kwa haki mahakamani,lkn hawana imani nazo.
Mgao mkubwa alipata na "orders" kwa Bageni, lazima zilitoka kwake kwasababu,kiofisi Zombe ni boss wa Bageni.Yaani nikiiangalia hii dili walikuwa na haki ya kufeli, players walikuwa wengi mnooo,watu zaidi ya 10 walipanga au kushuhudia dili moja,walikuwa na haki ya kustukiwa,anyway sijaridhika na namna Zombe alivyokwepa,alistahili naye aingie humu,kwani mgao alikula inawezekana alikula mrefu kuliko bageni
Ondoa alama"?" ibaki "kuwa statement" ili liwe ni jibu. Maana ulivoandika ndiyo mkanda wenyewe.Ila hapa binafsi sijaelewa, japo hii kesi imechukua muda mrefu sana, nini sababu hasa ya hawa jamaa kuuwawa? Ni kwamba polisi walijua wako na pesa nyingi wakaona njia ya kuzichukua ni kuuua na kusingizia majambazi ama kuna lingine?
Mkuu upo serious na unachokisema? Kesi kukatiwa rufaa ni kurudiwa?Well, "mwenendo wa kesi upitiwe upya," ndio kesi kurudiwa mara mbili huko!
Ndio ilikuwa ni rufaa, lakini kuna wakati appeal on acquittal ni kama kesi kurudiwa upya.
Kwa kuelewa hilo, kuna msingi unaitwa double jeopardy kwenye nchi zilizopevuka kwenye haki za raia na misingi ya ki-katiba, ambapo serikali for the most part hairuhusiwi kukata rufaa wakishashindwa kesi.
India, Marekani, Afrika Kusini, kwa mfano, rufaa za serikali baada ya kushindwa kesi haziruhusiwi, isipokuwa for a few special exceptions. Hapa kwetu serikali ilishindwa na Shehe Ponda Morogoro, DPP akakata rufaa, mara ya pili Shehe Ponda akashindwa. Serikali imeshindwa kesi ya na kina Kamanda Zombe, DPP akakata rufaa, kesi ikarudiwa, kina Mageni wameshindwa.
Huku ni kuvunja misingi ya double jeopardy inayokataza serikali kuwa na nafasi ya kukushitaki mara mbili mbili mara tatu tatu kwa kosa lile lile.
pia yawezekana walimzimisha ili kupunguza makali ya msala....kuna yule mshkaji alifariki Ocean road, huyo huenda alikuwa na full mkanda
Dah! Yaweza kuwa ni idea ya kweli.Niliwahi kusikia kwamba hawa jamaa walifikia hotel moja (magomeni kama sikosei) sasa aliyewatonya hao akina Bageni ni meneja wa hotel, na kwamba huwa ni mchezo wao akifahamu mteja ana pesa ndefu. Baadae wakifanikisha dili naye anapata mgao...