Siri nzito ya Zombe na Bageni

imeandikwa
Siyo kwamba hajui msitu ulipo ila amefanya jokes kwani watu waliuawa hapo lakini police walidai wamepambana na majambazi na kuwaua msitu wa Mabwepande.
msitu wa Pande uliopo mbezi luis. i suppose mabwepande iko mbele kuelekea boko huko
 
shetani wa kwanza ndio nani?
C huyo Mgeni, cjui Bagain aliyehukumiwa kitanzi jana. Ndo shetwani lenyewe la miguu miwili. Hata kama waligawana hizo fedha, hazijamletea faraja yoyote.
Tangu wafanye mauaji hayo ni shutuma, kesi kwenda mbele. Hajapata muda wa kufaidi hiyo dhuluma yake.
Tena yawezekana,huo ndiyo ulikuwa mchezo wao. Mungu hamfichi mnafiki, kaumbuka na ataendelea kujuta maisha yake yote.
 
Hivi,hakuna utaratibu wa rufani hapo,ndiyo tuseme yameisha kabisa?
Ama Zombe kutohusika na kuuwa kwa mkono wake,wakati alishiriki mchakato mzima na mpaka kupata mgao baada ya mauaji hayo, je hakuna adhabu ya chini anayostahili kwa ushiriki wake, isipokuwa ni kuachiliwa huru?
Ninaomba wajuzi wa sheria wanisaidie hilo. Vinginevyo nitabaki kutokuwa na imani na mahakama zetu hizi katika utoaji wa haki.
Niliweka comment jana juu ya deal iliyofanya Zombe akwepe kifungo,wadau wakaja fasta kuniambia nifute.
Kuna rafiki yangu mtumishi wa KITENGO aliwahi nipa SIRI juu ya kesi soon baada ya Zombe kuachiwa huru katika hukumu ya kwanza na akafungua madai ya fidia. Hukumu ya pili ilipotoka tu akanipigia kusema "UMEAMINI".
 
Niliweka comment jana juu ya deal iliyofanya Zombe akwepe kifungo,wadau wakaja fasta kuniambia nifute.
Kuna rafiki yangu mtumishi wa KITENGO aliwahi nipa SIRI juu ya kesi soon baada ya Zombe kuachiwa huru katika hukumu ya kwanza na akafungua madai ya fidia. Hukumu ya pili ilipotoka tu akanipigia kusema "UMEAMINI".
Hujamsaidia kwa lolote, hiyo comment iko wapi?
 
isije ikawa zuga....maana moja ya watu ambao hawaamin kama Balali alikufa ni mm....sasa asje akasafir kwenda kuish huko vietnam af tunaambiwa kanyongwaa....tuoneshwe LIVE
Ingewezekana lakini sio katika awamu hii
 
Bado kitendawili, hivi maongezi ya simu ya Chris B.. that day hayawezi kuwa ushahidi wa mtoa amri? Kama Tcra Wapo hawawez toa communication yote ya mhukumiwa... Haingii akiln hawez kua peke yake.. Hapo kitendawili... Inaumaaa Sana... This is one of the jobs that.. I always tell my kids to watch... Kwa uoga Sana!!
 
Yaani nikiiangalia hii dili walikuwa na haki ya kufeli, players walikuwa wengi mnooo,watu zaidi ya 10 walipanga au kushuhudia dili moja,walikuwa na haki ya kustukiwa,anyway sijaridhika na namna Zombe alivyokwepa,alistahili naye aingie humu,kwani mgao alikula inawezekana alikula mrefu kuliko bageni
 
Ila hapa binafsi sijaelewa, japo hii kesi imechukua muda mrefu sana, nini sababu hasa ya hawa jamaa kuuwawa? Ni kwamba polisi walijua wako na pesa nyingi wakaona njia ya kuzichukua ni kuuua na kusingizia majambazi ama kuna lingine?
 
Sidhani kama wameshitakiwa Mara mbili DPP hakulidhika na Hukumu waliyopata Mara ya kwanza Kwahiyo amekata Rufaa ukikata Rufaa lazima Mwenendo wa Kesi upitiwe upya!
Well, "mwenendo wa kesi upitiwe upya," ndio kesi kurudiwa mara mbili huko!

Mkuu hiyo ilikuwa ni rufaa. Hawakushitakiwa upya.

Ndio ilikuwa ni rufaa, lakini kuna wakati appeal on acquittal ni kama kesi kurudiwa upya.

Kwa kuelewa hilo, kuna msingi unaitwa double jeopardy kwenye nchi zilizopevuka kwenye haki za raia na misingi ya ki-katiba, ambapo serikali for the most part hairuhusiwi kukata rufaa wakishashindwa kesi.

India, Marekani, Afrika Kusini, kwa mfano, rufaa za serikali baada ya kushindwa kesi haziruhusiwi, isipokuwa for a few special exceptions. Hapa kwetu serikali ilishindwa na Shehe Ponda Morogoro, DPP akakata rufaa, mara ya pili Shehe Ponda akashindwa. Serikali imeshindwa kesi ya na kina Kamanda Zombe, DPP akakata rufaa, kesi ikarudiwa, kina Mageni wameshindwa.

Huku ni kuvunja misingi ya double jeopardy inayokataza serikali kuwa na nafasi ya kukushitaki mara mbili mbili mara tatu tatu kwa kosa lile lile.
 
Back
Top Bottom