Aliyezidisha 'utundu' kwa mpenziwe huru

Aliyezidisha 'utundu' kwa mpenziwe huru

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,122
Reaction score
859,368
Mainda Mhando, Mwananchi mmhando@gmail.com

Dodoma. Mahakama imemuachia huru mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya mpenzi wake, Helena Sambo (52) ambaye aliieleza mahakama 'utundu' wake kwenye tendo la ndoa ndio ulisababisha kifo hicho.

Sambo alikuwa akituhumiwa kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Mussa Seiph Agosti 11 mwaka 2016, ambapo kwenye ushahidi wake alisema siku ya tukio walipe-ana penzi zito ambalo halijawahi kutokea tangu walipoanza uhusiano wa kimapenzi.

Kesi hiyo ilikuwa inasikilizwa na Jaji Saidi Kalunde kwenye Mahaka-ma Kuu Kanda ya Dodoma na juzi alimuachia huru mshitakiwa huyo.

Jaji Kalunde alisema baada ya kupitia ushahidi wa pande zote mbili, mshtakiwa hakuwa na hatia kwa kosa la mauaji.

TAARIFA ZAIDI

Baada ya kufanya mapenzi Sambo alim-uacha marehemu apumzike na alishan-gaa kesho yake alika-matwa na polisi kwa tuhuma za mauaji.

Alisema katika kumtia hatiani mshtakiwa mahakama inabidi izingatie mambo kama silaha iliyotumika kwenye tukio, nguvu iliyotumika, eneo lililotokea tukio, majeraha ya aina gani na matendo ya mshtakiwa kabla na baada ya tukio.

Alisema katika kila ushahidi uliotolewa unatakiwa uonye

she mshtakiwa amefanya mauaji hayo na si mtu mwingine.

Jaji Kalunde alisema ushahidi huo unashindwa kumtia hatiani kwani mare-hemu hakukutwa na jeraha jingine mwil-ini na upande wa mashtaka ulishindwa kuthibitisha kuwa Sambo alimuua Mus-sa. Wakati wa ushahidi wake, Sambo aliieleza mahakama kuwa siku ya tukio Agosti 11, 2016 alikwenda mnadani kuku-tana na mpenzi wake na walikubaliana waende nyumbani kwa Mariam Sakalani (maarufu kama Biti Mteji) kwa ajili ya kufanya mapenzi.

Sambo alidai walianza kufanya map-enzi saa 9:30 alasiri na kumaliza saa 1 (bila kutaja kama ni jioni au asubuhi) na kwamba kawaida yao baada ya kumaliza mume huanza kuondoka. Alidai siku hiyo walipomaliza kufanya tendo hilo Mussa alimwambia Helena atangulie msibani na yeye atafuatia ili apumzike kidogo maana alidai amechoka sana.
 
IMG-20251118-WA0104.jpg
 
Wenzao wako msibani wao wanakulana
 
Mwenye namba ya Helena Sambo (52) tafadhali.

Mjukuu wangu ephen_ nakukabidhi hili jukumu. Babu yako nataka nikajiridhishe kama haya yaliyosemwa yana ukweli.
 
😹😹😹
Wazinzi wakubwa wenzao wanaombeleza wao wamechepuka guest kulana, matokeo yake hayo wameuana na miuno feni..!!
 
Mwenye namba ya Helena Sambo (52) tafadhali.

Mjukuu wangu ephen_ nakukabidhi hili jukumu. Babu yako nataka nikajiridhishe kama haya yaliyosemwa yana ukweli.
Tumalize la D9 ndiyo ukutane naye usijekutana naye kabla ya kuiweka nchi huru ukatutia aibu hapa jamvini kuwa ulifia kifuani badala ya barabarani
 
Back
Top Bottom