Siri kwa wanawake wasaka ndoa miaka nenda rudi

Siri kwa wanawake wasaka ndoa miaka nenda rudi

Mtazomo wako tu.

Ndiyo maana nikawa kidume cha mbegu, vile vile hata kama isingekuwa hivyo ningefanya juhudi kuitafuta ndoa iliyo bora.

Maana hili linawashinda mabinti wengi sana, mioyo wenu imejaa hofu, kila kukicha mnawaza starehe mwisho wa siku mnaishia kuzalia nyumbani, mtazeekea majumbani mwenu mkigonja mali ya urithi, jiandaeni kuwa mabibi wa nyumbani mnapitwa na fashion.

Kwa mtazamo wangu ungekuwa ushaolewa tayari. Unajua sana ndoa inavyotafutwa.
Ufundishe na binti zako Mungu atakaokupa kuwa ndoa inatafutwa kwa kubeba nyanya na kwenda kuchemsha wali kwa bf, eti?
Wasije wakawa mabibi wa nyumbani wakisubiri mali zako za urithi.
 
Ukifanya hayo kwa lengo la kuisaka ndoa, halafu usipoipata unaweza ukachizika..!

Kama unafanya, fanya tuu kwa mapenzi uliyonayo kwa huyo bf wako na sio kwa kutegemea ndoa..!

Huwezi kuchizika. Kwani ukifanya hayo utakuwa umepoteza nini_ Kama kufua na kupika hataka kwenu unafanya, unless uwe uwe unatokea maeneo yale ambayo mtoto wa kike hagusi kitu, vyote vinafanya ka dada wa kazi.
 
Valid points kabisa....suala sio kwamba ni lazima mwishoni iwe ndoa ila.ni kipimo cha kujua huyu anafaa kuwa mke au la maana sio wanawake wote.wanafaa kuwa wake

Cc Kongosho
rafiki umeniangusha.......
anayefaa kuwa mke ni yule anayedeki, kuosha vyombo, kufua, kupika, n.k?
watu wangapi wanayafanya haya yoooteeee tena bila manung'uniko na bado hawafai kuwa wake?
 
rafiki umeniangusha.......
anayefaa kuwa mke ni yule anayedeki, kuosha vyombo, kufua, kupika, n.k?
watu wangapi wanayafanya haya yoooteeee tena bila manung'uniko na bado hawafai kuwa wake?

Hahaha rafiki hebu soma tena uzuuri tartib utanifaham ninachomaanisha....uko mzima lakini? Happy to see you
 
Nilipokuwa naanza kukukua nilikuwa nashngaa sana nikimuona mwanaume ana kila kitu gari,nyumba nzuri,wanawake/madem warembo kazi nzur lakini haoi yupo yupo tu ila sasa nimekuwa sishangai tena swala la kuoa sio jepesi lazima umpate mwanmke anayejitambua na walau kuweza kujua mambo kama haya walau nusu yake
 
Hahaha rafiki hebu soma tena uzuuri tartib utanifaham ninachomaanisha....uko mzima lakini? Happy to see you
Nipo salama kabisa rafiki...... hofu kwako.
Ukweli nimesoma points za mtoa mada sidhani kama kuna inayo-determine anayefaa kuwa mke
 
Kwa mtazamo wangu ungekuwa ushaolewa tayari. Unajua sana ndoa inavyotafutwa.
Ufundishe na binti zako Mungu atakaokupa kuwa ndoa inatafutwa kwa kubeba nyanya na kwenda kuchemsha wali kwa bf, eti?
Wasije wakawa mabibi wa nyumbani wakisubiri mali zako za urithi.

Nitawafundisha sana.

Ila pia naomba nianzie kwako maana nakuona na wewe unaitafuta ila haujui njia za kuipata..
 
Nilipokuwa naanza kukukua nilikuwa nashngaa sana nikimuona mwanaume ana kila kitu gari,nyumba nzuri,wanawake/madem warembo kazi nzur lakini haoi yupo yupo tu ila sasa nimekuwa sishangai tena swala la kuoa sio jepesi lazima umpate mwanmke anayejitambua na walau kuweza kujua mambo kama haya walau nusu yake
mwanamke lazima ajitambue na awe na heshima I concur
 
kwa nini umeni CC

ameongea ukweli nyie wanaume hamna jema unaweza fanya yote hayo

na ndoa ukaisikilizia kwenye mabomba.......

ukifanya hayo yote na hujaolewa fungua kesi mahakamani ya unyanyasaji wa kijinsia
 
Back
Top Bottom