teh teh sipati picha comment yako akiiona ambaye yuko stage hiyo
Nasubiri siri new version
Maana hizi nimezifanya mwaka wa 42 huu ila statasi haichenji
Valid points kabisa....suala sio kwamba ni lazima mwishoni iwe ndoa ila.ni kipimo cha kujua huyu anafaa kuwa mke au la maana sio wanawake wote.wanafaa kuwa wake
Cc Kongosho
kilema cha akili ni hatari sana...
Hizo za kama ipo ipo tu ndiyo zile mnazoingia kichwa kichwa hata mwaka hauishi msharudi home na vilio.
Jambo lolote zuri haliji hivi hivi linahitaji maandalizi ya kutosha
Usitegemee kukesha bar ma madisko halafu utegemee kuwa mama mzuri wa familia kesho.
Mtaoshwa sana maji kwa waganga.
Haya, hivi Isaack na Albert walioa? Kama hawakuoa basi walikuwa wajinga sana, right?
unawazungumziaje wanawake loyal kwa wanaume,wengine wanakaa miaka hata 7 kungojea ndoa na hawaolewiiii??mara ngapi women wanalia wameachwa japo hadi pete walipewa na ukweni wakatambulishwa??kama ipo ipo tu mkuu,siamini i have to forge who i am just to get married,aftr that THEN WHATT and whats the point???.ila si neno mana gals washajua mnapenda maigizo they give u want u want...i will stay real and true to myself
Nawasikitikia sana mabinti wanao dhani kwamba swala la ndoa pia linabahati nasibu.
Mtapeleka kuku kwa waganga mpaka basi, mtaagizwa kuku wa njano, mkidhani kwamba mnamikosi kumbe maisha mnayakosea wenyewe.
Swala la ndoa ni soma pana sana linalohitaji umakini na usikivu wa kutosha, usitegemee kusinzia wakati wa somo halafu upate 100%, hapo tegemea -0%..
Kisicho kua kina kukomaza..
Hao wanao achwa wakiwa wamekaa miaka saba hawakufudhu mitihani hiyo hapo juu..!
mkuu we umeoa au la?..
Ingekuwa mwanamke ndo anaoa sawa,ila si tunaolewa ni bahati nasibu hii..kama ipo ipo tuu,men are unpredictable unaweza ukafanyiwa mengi na hata ukazaa na hyo ndoa usiione
u have never been in their shoes ,don't conclude....am a woman najuaa uchungu wake...na mi nishawahi kupewa ahadi za ndoa na sikuiona,..
mi sio mruka viwanja,na mimba sikukubali anipe kabla ya ndoa...Swala la kuoa hiyo ni private issue sitakujibu..
Tatizo sio kufanya mengi, fanya yale yanayostahili kufanywa.
Sio useme umetumia muda wingi kuspend na mwanaume kujirusha kila kiwanja mwisho wasiku akakupa mimba usime ulijitoa au umemfanyia mengi
Jichunguze utagundua kasoro ulizo nazo.!