Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
Hivi nimeandika tena hivyo? Shame on me kabisa umbuje..sasa nitakuangaliaje usoni? 😕🙄
Mwanaume habebek hata ukimwambia ajisaidie kwenye mkono utaenda tupa kinyesi...sitak kuwafikilia kbs
Hebu muulize mwenyewe atakwambia Heaven on Earth
Watasubiri sanaaaaaaaaaaaaaa...
Ndoa sio bahati nasibu, lazima uwajibike kwa namna moja ama nyingine kuipata, sio mvua kwamba itanyesha tu msimu ukifika, ndoa sio nguo kila mmoja atanunua, ndoa sio chakula kila mwenyeja njaa anaweza kula, ndoa sio daladala ukijisikia utapanda na kushuka kwa nauli yako, LAZIMA UWAJIBIKE KUIPATA HAITAKUFUATA KAMWE NYUMBANI KWENU TUKO KARNE NYINGINE HII.
qwi qwi qwi, umecalculate masaa au umeamshwa na notification? Nilikua usingizini nikawa naota niko kijiji kinaitwa jf huko nikaona watu wanasema uongo, hivyo ikabidi nistuke nikemee kwanza halafu nirudi usingizini.
Ahsante, ngoja niyaandike kwenye notebook mwaka hauishi huu utakuja kula pilau...
hahahaha......
utakuwa umezifanya kwa waume za watu ndio maana status yako haija-change.
I m just joking.
mhhhhhhh..............ndo ukweli huu aisee take it from me
Wewe ungekuwa mwanamke ungekuwa lipumbukeni sana wa ndoa.
Ungefanya mambo mengine kweli wewe, zaidi ya kutafuta kuoelewa?
Unavyoihubiri ni kama uhai.
Sighs!!
Yaandike na pengine virus wasije haribu....I always like your thinking.
Mimi for sure nimekopy na kuweka kwenye word.
Imetulia
Habari za asubuhi wii!!
hujapenda bado.wewe Lol ,utafanya tu
ndo nini hiyo?umemuwekea LIMBWATA?