Siri kwa wanawake wasaka ndoa miaka nenda rudi

Siri kwa wanawake wasaka ndoa miaka nenda rudi

mwanamke lazima ajitambue na awe na heshima I concur

hapo ndo shughuli inapokuwepo kwenye kujitambua ila mi kwa upande mwingine nahisi uwepo wa mapenzi ya kweli ndo hupelekea yote hayo kama mtu anachukulia love yako for granted tu sidhani kama anaweza kuyafanya yote hayo uiliyoyaeleza hapo juu
 
Umeona eeh rafki, hivi ni wanawake tu ndio wanahitaji ndoa? Inaelekea wanawake has to trick men ili waolewe, inashangazq.

rafiki umeniangusha.......
anayefaa kuwa mke ni yule anayedeki, kuosha vyombo, kufua, kupika, n.k?
watu wangapi wanayafanya haya yoooteeee tena bila manung'uniko na bado hawafai kuwa wake?
 
mwekundu kama umeongea leo umeongea mapwoint yaliyoenda shule

NA UMENIMALIZA HAPA NIMEPASTE

8. Jifunze pia kusisitiza kujitunza kabla ya ndoa. Sio kila saa ukimtembelea ni kujiachia tu. Inaleta adabu na inawafanya mkazanie kufikia lengo kubwa la maisha.
9. Jaribu ukiwa unaenda kwake uwe unaenda na tuvitu kama nyanya, vitunguu, n.k. Hivyo vyote huwa wanaume ni shida kununua mara nyingi.

10. Wakati mwingine nenda kwake hata na CD za dini mpelekee msikilize. Sio kila ukifika kwake wewe ni rege, Eminem, Lil Wayne na kina nani sijui. Ukiwa hivyo hataona tofauti kati yako na wale macho juu anakutana nao club kila wikiendi.
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh rafki, hivi ni wanawake tu ndio wanahitaji ndoa? Inaelekea wanawake has to trick men ili waolewe, inashangazq.
umeona eeehhh!
yaani mimi nashangaa sana rafiki, hao wakaka waoaji wanaoa nani? si hawa hawa wadada? cha kujitwisha hayo mamizigo yote, kisa? ndoa tu!
 
Ahsante, ngoja niyaandike kwenye notebook mwaka hauishi huu utakuja kula pilau...
yani nami pia nimeweka hivyo, lazima nioe kwa msaada wa Mungu, yani napendaje kuwa na mke wng tunayependana. nilipanga mwezi wa 10 hata nikipitisha x.mas hii pilau nakula la mke wng.
 
umeona eeehhh!
yaani mimi nashangaa sana rafiki, hao wakaka waoaji wanaoa nani? si hawa hawa wadada? cha kujitwisha hayo mamizigo yote, kisa? ndoa tu!
Fixed Point ndoa ina heshima yake bana,hapa leo mtanisamehe tunazungumzia upande mmoja tu tuki assume mwingine yuko kwenye demand
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point ndoa ina heshima yake bana,hapa leo mtanisamehe tunazungumzia upande mmoja tu tuki assume mwingine yuko kwenye demand
nani yupo kwenye demand?
sema ukweli wako.
Kwa mtazamo wangu yeyote anaweza kuwa kwenye demand. Hujawahi ona mdada anaolewa na wakaka kibao wanabaki kusikitika wamemkosa? kwa kifupi wanatamani lolote litokee ili wampate wao
 
Nadhani uko nje ya point kidogo...wanawake ambao they think they try thei level best to get married lakini mambo yanakua horaa,wanatakiwa wajitazame PIA(underline-they ate nt the reasons only) na hizo point zangu
 
hahhaha,ukikutana na mi huku uraiani,nilivokuwa ka innocent,HUWEZI DHANI kama ndo mimi....
Am in JF to just talk.am not as bad as i sound....sasa kama mnatafta wake humu kazi ni kwenu,mi sitafuti mume humu,
Jicheki na kujipanga tu..hata kama hutafuti mume..lakini kuongea kwa utaratibu mzuri wa kiheshima ina kusadia pia.. hata kama upo jf au wapi..n way ni maisha yako..lkn km nlivyokuambia utalilia sana kwa jinsi unavyosound
 
mwekundu kama umeongea leo umeongea mapwoint yaliyoenda shule

NA UMENIMALIZA HAPA NIMEPASTE

8. Jifunze pia kusisitiza kujitunza kabla ya ndoa. Sio kila saa ukimtembelea ni kujiachia tu. Inaleta adabu na inawafanya mkazanie kufikia lengo kubwa la maisha.
9. Jaribu ukiwa unaenda kwake uwe unaenda na tuvitu kama nyanya, vitunguu, n.k. Hivyo vyote huwa wanaume ni shida kununua mara nyingi.

10. Wakati mwingine nenda kwake hata na CD za dini mpelekee msikilize. Sio kila ukifika kwake wewe ni rege, Eminem, Lil Wayne na kina nani sijui. Ukiwa hivyo hataona tofauti kati yako na wale macho juu anakutana nao club kila wikiendi.

fuata hiyo...........ndani ya miezi mitatu.......hope utanialika LOL
 
Back
Top Bottom