Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
Kama ipo ipo tu!
Tena ukijitia kimbelembele utafulishwa ma jeans mpaka utoke sugu za mikono,utanunua zawadi mpaka akose pa kuziweka lakini mwisho wa siku atakwambia wazazi wamemtafutia mchumba kijijini!!!
Mie nimeshavuka hapo,ila bint yangu nikisikia anamfulia mtu kwa kusaka ndoa atanitambua!!!
Twin, mwache binti yetu ajaribu bahati ya ndoaa