mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
- Thread starter
- #81
Swadakta...akifanya hivyo hakika atakua irreplaceable na atamteka milele mwanaume wake ,People always like mates who add value to their Life and they will hold on fear of losing them,sasa kama huna Value We got nothing to loseNa hautakiwai kufanya hayo kwa ajili ya ndoa fanya kwa mapenzi uliyonayo juu ya huyo mwanaume kama unafanya kwa ajili ya ndoa maana yake ukipata ndoa hayo utaacha kuyafanya? ushauri wangu fanya kama moja ya mapenzi kwa huyo mwanaume