Siri kwa wanawake wasaka ndoa miaka nenda rudi

Siri kwa wanawake wasaka ndoa miaka nenda rudi

Ye watu hawanaga shukrani unaeza ukawa z best wife material lakini bado kuolewa mwingine lol
 
hivi wanawake kufanya kila kitu kwa boyfriend as if ni mumeo nani kasema????thats why wanaume hawaoi siku hizi kwasababu wanapata huduma zote..kama mwanaume anakuona unafaa kuwa mkewe atakuoa..ila hii habari ya kufanya majukumu yote hapana..fanya hizo kazi ukiwa kwako na kwa mume wako...so mnaoendelea kuvunja migongo huko keep on doing that..
 
Mhhhh.....usiku wote huu?hembu .....

qwi qwi qwi, umecalculate masaa au umeamshwa na notification? Nilikua usingizini nikawa naota niko kijiji kinaitwa jf huko nikaona watu wanasema uongo, hivyo ikabidi nistuke nikemee kwanza halafu nirudi usingizini.
 
Baidey utansamee ila kwa michango yako hapa jukwaani mtu atakaa na wewe lkn kukuoa itakua ngumu.. labda km una-act lakini ur views sio km za mwanamke wa kuoa..labda kula bata tu

hahhaha,ukikutana na mi huku uraiani,nilivokuwa ka innocent,HUWEZI DHANI kama ndo mimi....
Am in JF to just talk.am not as bad as i sound....sasa kama mnatafta wake humu kazi ni kwenu,mi sitafuti mume humu,
 
Unamuoa kwa ajili ya hayo majukumu mengine umbuje,akishakuwa ni jinsia ya ke ndio mke huyo!!!

Kweli umbuje ila ss kuna masista..kuna waseja....kuwa mke ni zaidi ya kuwa mwanamke kwa ninavoamini...umeamkaje lakini
 
hahhaha,ukikutana na mi huku uraiani,nilivokuwa ka innocent,HUWEZI DHANI kama ndo mimi....
Am in JF to just talk.am not as bad as i sound....sasa kama mnatafta wake humu kazi ni kwenu,mi sitafuti mume humu,

Kuna mtu amekuchumbia badiebey? Khaaa...wakuwache bana
 
Last edited by a moderator:
Kweli umbuje ila ss kuna masista..kuna waseja....kuwa mke ni zaidi ya kuwa mwanamke kwa ninavoamini...umeamkaje lakini

Nimeamka salama kabisa umbuje,kwema huko??
Hapo kwa masista nimekubali,nilikua najiuliza huu wito wa usista nimeutoa wapi? Kumbe ni inborn!!!
Pole umbuje naona addiction ya "ss" hiyoo,taratibu!!!!
 
Anayejisikia kufanya hayo ayafanye hayo na zaidi ila iwe kwa mapenzi,akiyafanya ili apate ndoa ni shida maana akiikosa ataumia sana na kuchanganyikiwa na akiipata atajibweteka akifika maana si tabia yake aliyafanya ili jamaa akate shauri,baada ya siku chache jamaa atagundua ule mng'ao aliouona kwa mbali kumbe haikuwa silver ni bati tu!!!

Ewaaa umbuje umenena kwa hekima kuu kula tano....kimsingi ndo icho tunasema...kwamba kama ana mapenzi ya dhati atafanya hayo na zaidi na ndiposa mwanaume anavutiwa kwa haraka zaidi asije akapokonywa...mwenye mapenzi atafanya hayo bila hata kuuliza mara mbili mbili
 
Nimeamka salama kabisa umbuje,kwema huko??
Hapo kwa masista nimekubali,nilikua najiuliza huu wito wa usista nimeutoa wapi? Kumbe ni inborn!!!
Pole umbuje naona addiction ya "ss" hiyoo,taratibu!!!!

Hivi nimeandika tena hivyo? Shame on me kabisa umbuje..sasa nitakuangaliaje usoni? 😕🙄
 
Kuna mtu amekuchumbia badiebey? Khaaa...wakuwache bana

hahha waniwacheee jmn...kuolewa ntaolewa muda ukifika, the possibility of getting mume JF ni ndogo mnooo,why should i get busy acting ?,to impress wanaume nisiowajua...hyo kazi nawaachia knadada wanaosaka waume humu....not my thing
 
Last edited by a moderator:
Ewaaa umbuje umenena kwa hekima kuu kula tano....kimsingi ndo icho tunasema...kwamba kama ana mapenzi ya dhati atafanya hayo na zaidi na ndiposa mwanaume anavutiwa kwa haraka zaidi asije akapokonywa...mwenye mapenzi atafanya hayo bila hata kuuliza mara mbili mbili
Hapa sasa tunaongea lugha moja umbuje!!
 
hahha waniwacheee jmn...kuolewa ntaolewa muda ukifika, the possibility of getting mume JF ni ndogo mnooo,why should i get busy acting ?,to impress wanaume nisiowajua...hyo kazi nawaachia knadada wanaosaka waume humu....not my thing

Hahaha basi sawa..huku tunakula bata tu mume kwenu
 
Back
Top Bottom