Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

Siri imefichuka.. Viongozi CHADEMA kuweni makini

Mods plz usiunganishe hii. Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka. Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa Chadema hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa. Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CDM ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.

Kumbee!!! walikaaa kabisa ili watuuwe Arusha tunsema tulianza na mungu na tutamaliza na mungu....Damu iliyomwagwa sio juisi...
 
I'm afraid, Kwa dalili hizi za kisiasa zinavyoonekana nchini, utasubiri sana CHADEMA kuingia madarakani zaidi ya kupewa uongozi wa mitaa, udiwani na ubunge hapa na pale nchini. Kama ni madaraka ya kufikilika kama kiongozi mmoja wa CHADEMA anavyodai na kusema nusu ya wafanyakazi wa usalama wa taifa wanalipoti kwake kama boss wao, hiyo nitakubaliana na wewe.

Unapoanza kunihukumu wakati wewe ni binadamu kama mimi, ni sawa na kuwa na akili iliyopofuka kifkra. Hata huyo mungu wako alikuonya kwenye kitabu cha Matayo 7 pale aliposema,
"Do not judge so that you will not be judged.
For by the standard you judge you will be judged, and the measure you use will be the measure you receive.
...Lakini Mungu alitupa akili ya kujua mema na mabaya. inashangaza unapotumia akili yako kutetea mabaya na kukemea mema.
By the way hujajibu hoja zangu mbili. nimekuuliza huo msumeno wa magamba mbona hatujauona kwenye issue ya Mwakyembe aliyempa ushahidi wote IGP Mwema kwa majina na namba za magari na gest house walizofikia alshabab wenu na kumuachia kazi ya kukamata tu, lakini badala yake JK akamzawadia uwaziri?. Na vipi kuhusu Dr Ulimboka ambaye Mwanahalisi liliweka ushahidi wote wa mtekaji mkuu Ramadhani Ighondu badala yake lilifungiwa kwa eti kuchochea jeshi kuasi. Sheria chini ya magamba haijawahi kuwa msumeno. Tutaendelea kusubiri CHADEMA ije na huo msumeno ndipo utakapojua tafsiri sahihi ya sheria ni msimeno - sio hii ya akina Lowasa kutufisidi kisha kujiuzuru yakaisha badala ya kwenda mahakamani.- na sasa eti ANA NDOTO! anautaka urais.
 
kurusha helikopta kwa saa moja angani ni shilingi ngapi? hizo pesa si zingetosha kuondoa adha hii?
5542_10151644014624339_736483012_n.jpg

maji+kawaida.jpg
..........Serikali imetenga Sh Bilioni moja kwa ajili ya mazishi ya viongozi waandamizi watakaokufa kuanzia July 2013 hadi Juni 2014.:heh:
 
hii nch ni ya kipuuzi sana....kama serekali ya ccm haiwezi kutekeleza demokrasia hasa ya vyama vingi, basi wafute vyama vyote...sio kuanza kuuwa raia ili kudhofisha upinzani

Naunga mkono, si bure.
 
hivi chadema walishawah kufikirg kuwa maadui wao ni wao wenyewe. sikia, uchaguzi wa madiwani ulioahirishwa arusha, unatokana na wao chadema kuwavua madiwani wao uanachama. aliyesababisha kufukuzwa kwa madiwani hao ni mbowe na lema.lakini wajue kuwa madiwani hawa, walichaguliwa na watu mbalimbali wakiwemo wana chadema na wana ccm amba walikuwa na imani na watu hao. na baada ya kuwafukuza, wajue wapo watu ambao wamechukiz a sana na kitendo hicho. na wav hao wanaweza kutaka kulipiza kisasi kwa namna wao wanaweza. ndio maana mbowe alisema kuwa wanaotafutwa ni yeye na lema. naamini alisema hivyo kwa kujua ukweli kuwa fukuzafukuza yao watu kwenye chama kwa maslahi yao binafsi kunawatengenezea maadui wengi kuliko wao wanavyofikiria kuwa adui wa chadema ni ccm. wafanye utafiti. wa nini kinawasibu katika mikutano yao. halafu kwanini matukio ya mauwaji katika mikutano yao, inatokea kipindi ambacho bunge linaendelea? haya ni mambo ya kupangwa, kama sio chadema wenyewe basi wapo wanaoyapanga. na inawezekana pia labda ni matambiko ya baadhi ya wanasiasa. kwamba ili nyota zao ziwake basi damu imwagike. ndio maana hata huoni chembe ya huzuni kwenze nyuso zao. mungu awalaan wote wenye kuyafanya haya. awe cdm, ccm, au yeyote.
 
Haki itaishinda dhuluma, haya ambayo ccm wanayafanya yatawatesa mioyoni mwao!

Watanzania wanafanya maombi ya haki na amani, na hii ndiyo silaha ya ukombozi!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mbinu za kizamani sana hizi na obviously kwa kujulikana tu tayari wanasheria wetu makini wanajua jinsi ya kupanga counter-attacks.
Mtu mwenyewe wanatembea naye majukwaani na amekuwa mtaji wa kuongezea kura zao.
This is ridiculous. Kagonja anasema ni lazima Mbowe atoe ushahidi alionao. Lakini Nchema amekuwa akitembea na Tesha kwenye majukwaa akionesha ubaya wa Chadema. Kwa nini hajakamatwa kwa kuficha ushahidi? Nani amethibitisha kuwa kweli Chadema wanahusika? Double standards

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wao wanataja policcm sisi tunataja Mungu. Watashindana nasi lakini hawatashinda. Inanikumbusha vita ya David na Goliat.

"Ccm wamepanic"
 
...Lakini Mungu alitupa akili ya kujua mema na mabaya. inashangaza unapotumia akili yako kutetea mabaya na kukemea mema.
By the way hujajibu hoja zangu mbili. nimekuuliza huo msumeno wa magamba mbona hatujauona kwenye issue ya Mwakyembe aliyempa ushahidi wote IGP Mwema kwa majina na namba za magari na gest house walizofikia alshabab wenu na kumuachia kazi ya kukamata tu, lakini badala yake JK akamzawadia uwaziri?. Na vipi kuhusu Dr Ulimboka ambaye Mwanahalisi liliweka ushahidi wote wa mtekaji mkuu Ramadhani Ighondu badala yake lilifungiwa kwa eti kuchochea jeshi kuasi. Sheria chini ya magamba haijawahi kuwa msumeno. Tutaendelea kusubiri CHADEMA ije na huo msumeno ndipo utakapojua tafsiri sahihi ya sheria ni msimeno - sio hii ya akina Lowasa kutufisidi kisha kujiuzuru yakaisha badala ya kwenda mahakamani.- na sasa eti ANA NDOTO! anautaka urais.

Inawezekana Mwakyembe alizema uongo yeye na Sita. Kama walichokuwa wanakisema ni kweli, waje tena watamke yaleyale na tena wasiseme wanamwachia Mungu. Vinginevyo kwangu mimi ni waongo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mods plz usiunganishe hii. Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka wizara ya mambo ya ndani ni kuwa, baada ya kuona mambo yanakwenda vibaya na kuumbuka kwa serikali kunakaribia juu ya ushahidi wa KWELI alionao Mbowe na Lema wa mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Arusha ambayo inaanza kuaminika ni matokeo ya kikao cha Dodoma mwishon mwa mwez wa 5 kati ya Mngullu, Chagonja, Mwigulu Nchemba na Isihaka. Serikali imebuni mbinu mpya haraka sana KUPOTEZEA ushahidi huo au kuzuia usitoke kabisa. Mbinu hyo ilianza juz kwa kuifufua kesi ya tindikali Igunga haraka sana na kumkamata Henry Kileo wa Chadema ili ipelekee kukamatwa kwa viongozi wa Chadema hasa Mbowe, Lema, Lissu na Dr Slaa. Ufanikishaji wa kukamatwa kwa viongoz hawa kutafanya wawe bize mno na kusahau mambo ya mikanda ya ushahidi kwa kuwa watakuwa ndani na pia wananch watasahau na hata Media zitasahau. Vijana wanne kutoka Dsm wanapelekwa airport kwenda Tabora kama mashahidi wa kutengeneza, Hery Kileo wa CDM ashapelekwa Tabora jana kwa helkopta ya polisi.
Jamani Jamani una uhakika kuwa huyo Henry kileo alipelekwa tabora kwa helicopter ya polisi?unapoandika jambo uwe na uhakika nalo si kwakuwa uachuki na polisi basi hata vitu hawajafanya unasema wamefanya kwa chuki yako binafsi.
 
Dr.W.Slaa and 7 others like this.

Hahahaha, hadi huyu mwenye phD kalike thread hii?? yani mawazo ya mtu ambayo yamegeuzwa kuwa fact katika ulimwengu wa fikra yamependwa na 'so called' rais mtarajiwa?? kweli "brain Vs Age graph" yake ishaanza kudrop....
 
Jana nilisikia chopa ya polisi ikata anga, polisi kataeni kutumiwa someni alama za nyakati.
Kwani chopa ikikata anga ndo inampeleka huyo tabora?polisi hawana kazi nyingine na chopa zaidi ya Hiyo?au wasirushe chopa zao kwa sababu chama fulani kitasema uongo juu Yao.kabla ya kushabikia kitu hebu tutafute ukweli kwanza.mleta Uzi anadanganya watu hapa jamvini kuhusu helicopter ya polisi kumpeleka huyo Henry kileo tabora.ndani ya nafsi yake Anajua hapo anawasingizia polisi ,sijui ili apate nini?
 
ifweero; Wale askari wenu waliomlipua Mwangosi wako wapi?
Siyo tu hiyo kesi imefutwa kimya kimya,bali hata yule aliyekuwa kinara na aliyeamrisha mauaji ya Mwangosi,kamanda Kamuhanda amepandishwa cheo na JK,kwa utumishi uliotukuka,wa kuongoza kikosi,kilichomuua Mwangosi!!

Hii serikali ya CCM, kwa mambo inayofanya inaweza kuqualify,kuwa among the seven wonders of the world,kwa maana,ajabu moja lililopo kwa sasa,litabidi lidrop hadi na. 8!!
 
Last edited by a moderator:
CCM kimefikia mwisho wa kufikiri namna ya ku solve matatizo ya watanzania na sasa kila siku kinawaza jinsi gani ya kukizamisha CHADEMA.Ila Mungu alivyo wa pekee anayafanya mambo kuwa vice versa kwamba badala ya kuizamisha CHADEMA, wao CCM wamekuwa wakiipandisha CDM juu zaidi siku hadi siku.
 
Juliana Shonza nahisi wazimu tayari Kama GAIDI mwenziwe Nchemba
 
Hivi ccm hawapo tena watu wanaofikiri kwa kutumia vichwa tena,

Yaani move kama hizi wanajichoresha live kwa kila mtu kwamba wanatafuta jinsi ya kujificha kwenye uovu waliofanya Arusha

Wangekuwa wajanja wangepanga hii move baadae kidogo ili watu wasiunganishe na hii ya Arusha.
Swala la kuiunganisha na issue ya Arusha ni ushahidi tosha wa ushiriki wa ccm kwenye maovu kwenye taifa hili

Nashauri Dr. Slaa na Mbowe waombe Hifadhi ubalozi wa Rwanda kwa muda na waeleze wazi umma,

Nashauri pia viongozi wote wachadema ambao wanatishiwa maisha na hawa wezi wa taifa, wajisalimishe kwenye balozi za nje na kutangazia umma mbinu hizi mbovu,

Ccm ni janga la sio tu la taifa, bali ni janga la ustawi wa mtanzania.
 
Dr.W.Slaa and 7 others like this.

Hahahaha, hadi huyu mwenye phD kalike thread hii?? yani mawazo ya mtu ambayo yamegeuzwa kuwa fact katika ulimwengu wa fikra yamependwa na 'so called' rais mtarajiwa?? kweli "brain Vs Age graph" yake ishaanza kudrop....

subiri kesho ndio ucomment hapa, unasemaje kuwa ni mawazo, na yako ni mawazo tu maana huna facts za kudisqualify kilichosemwa.
 
CCM kimefikia mwisho wa kufikiri namna ya ku solve matatizo ya watanzania na sasa kila siku kinawaza jinsi gani ya kukizamisha CHADEMA.Ila Mungu alivyo wa pekee anayafanya mambo kuwa vice versa kwamba badala ya kuizamisha CHADEMA, wao CCM wamekuwa wakiipandisha CDM juu zaidi siku hadi siku.

Shimo ccm walilopanga kuwachimbia cdm wao watatumbukia wenyewe mwaka huu. Amen
 
Back
Top Bottom