The Guitarist
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,579
- 5,299
eti kutoanisha maji yani unazidi kunimaliza hahahahaha wadada wa Nyeri bwana.......Very simple kutengeneza carbonara, boil ur spaghetti, toanisha maji, then hamisha kwa sufuria empty, washa gas, weka spaghetti, then changanya na maziwa mgando ziive at a time in the same container for 15 mints after hiyo serve. & so if you don't know how carbonara is prepared atleast today umejua.
Sasa kama sisi tukipika,na wewe utafanya kazi gani??Yaani mimi, mwanaume kama hajui kupika kiukweli nitamruka futi 3,000 kutoka usawa wa bahari.
Yaani utapata boy hajui kuwasha hata sigara, achilia jiko, yaani kama ni hajui kupika pita hivi yaani.
Maana ukinitembelea weekend, lazima uonyeshwe jiko, upike.Wanaume jifunzeni hata kuchemsha maji ya kuoga na kuwasha sigara.
Jifunze na hivyo vingine hebu,Mimi najua kupika ugali basi!
Nairobi girlLafudhi yako kimaandishi kama ya wakenya, wewe ni mkenya au umetokea kuishi huko..?
She is Nairobian girlLafudhi yako kimaandishi kama ya wakenya, wewe ni mkenya au umetokea kuishi huko..?
Yaani hata akikuzidi nguvu, unamfanyia timing unampiga ambush la maana akishtuka anajikuta moi akiungwa ungwa mifupa na asiposhtuka anajikuta kino makaburini......hili linakua fundisho na kwa vizazi vijavyoWanawake wenye tabia ya kutaka kuongoza mwanaume ni virus,,yaani ninunue vyakula nikifika nyumbani nivipange vya friji na vya kabati,,bado nije nipike tena.Dah!! Labda niwe na akili za kushikiwa..Kwa mwendo huu talaka haiepukiki na wanawake wa kikenya wanaowapiga waume zao sijui wanaanzaje au hao wanaume ni madhaifu kiasi gani? Maana mimi mwanamke akiwa serious ananipiga nahisi kama kuna watakaokuja muokoa atakaa Icu mwezi na wodi ya mifupa miezi tisa.
Sa mi.nkipika we kaz yako ni ipi?
Haaaa hili ni kweli aisee,ni wababe na kingine hupenda sana Dic....hiyo ndo chakula yaowanawake wa kenya wanapenda kutembeza kichapo kwa bwana zao wana mfumo jike sana kwao ila wanatupenda wanaume wa kibongo
Yaani anatakiwa ajute kwa uamuzi wa kijinga aliouchukua.Na mpaka akuzidi nguvu sio rahisi hata kidogo.Japo najua wanawake wetu wa Kibongo hawana hio tabia sana tunaishi kwa kuongea tunapishana kauli mara nyingi.Yaani hata akikuzidi nguvu, unamfanyia timing unampiga ambush la maana akishtuka anajikuta moi akiungwa ungwa mifupa na asiposhtuka anajikuta kino makaburini......hili linakua fundisho na kwa vizazi vijavyo
Ooh no baby I am always like.You sound so romantic Uhhh, hivi boys kaa nyie do exist au ur just impressing me with words? Aki imagine ur words make feel cold like ice cream I used to stole in my mom's fridge when I was 7 yrs. Mmmh kama nakufeel kwa mbali..... Get me couple of more... Yeah!!!!
HahahaaaaaMtoto wa geti kali sio ?? Sie zetu ni ugali na ndondo halafu unashushia na barafu ya ukwaju ....
Karibu mama mtaani kwetuHahahaaaaa
Asante limekukumbusha wapi tena uncle Ben?Karibu mama mtaani kwetu
Halafu jina la Sasha limenikumbusha mbali sana