Sipendi mwanamke aniombe hela

Sipendi mwanamke aniombe hela

Hakuna furaha kubwa kwangu kama kuhonga mwanamke/wanawake.

Tatizo sasa hao wa kuhongwa wako wapi?
 
Tuwe wakweli wanawake wengine wanakera! Mfano unakutana leo na mwanamke hata ungempa hela kiasi gani cha ajabu kesho haachi kukubomu! Anadai hela kana kwamba kabla ya hapo hakuwa na maisha na sasa kakupata ndo maisha anayaanza! Dada zetu kweli wajue tabia hii ya kuomba omba hela inakera na inawapunguzia credit mbele za wanaume. Na mimi ukishaanza kuniomba omba omba hela nitaishia kukudharau tu. Omba kwa kiasi au nipe nafasi nami nifikirie na kutimiza wajibu wangu wa urafiki, eboo!
 
Kwa hiyo hata kama ni mkeo akiomba hela za matumizi "humtaki tena na unafuta namba yake"?
You are not a husband material.

mh! Mkeo simnajadiliana kwa maana ya kupanga matumizi pamoja? Hapa tunazungumza hii midude ya nje. Ni mizuri lakini katabia hako kakuomba omba hela hakapendezi hata kidogo. Kuna mmoja niliwahi kumtoa kwenye umasikini lakini kila kukicha, hela ya vocha, matumizi madogo madogo, kodi ya nyumba, bili ya umeme, bili ya maji, hela kuuguzia nduguze waliolazwa, nk utadhani tumeona! Hapana, wanawake wa hivyo wajiongeze. Wahivyo wadai tu ndoa ili wasipate tabu ya ku-text kila wakati na kama ndoa haiwezekani urafiki ufe tu.
 
Unakosea kusema hivyo coz kama ndivyo mahari zisingelipwa.
Mahari hulipwa kulingana na taratibu za dini ya wahusika! Wakati kwa wakrissto na waislamu mahali hutoa wanaume kwa wahindu mahali hutoa wanawake! Kuhusu papuchi kila mtu anayo...labda kila mtu alipie kwa huduma aliyopewa au aliyenogewa ndiyo alipie!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom